SWALI:MALAYA NI NANI? MWANAUME AU MWANAMKE?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

The title above is concerned!
Malaya ni nani?
Ni mwanaume au mwanamke?

Je, kila mtu anaweza kumwita mwanamke/mwanaume malaya?
Hata kama hawajawahi kukutana naye kimwili?

Kwa upande wangu huwa naona vigumu kumwita mwanamke malaya wakati sijawahi mgegeda...

Nini kipimo cha kuwa malaya?
kuna wadada wanapenda sana pesa tena kwa uwazi kabisa..

je, hawa ni malaya?

lastly..kuna tofauti gani kati ya majina haya hapa chini na malaya?
i. kahaba
ii. changudoa..

Hebu tujadiliane..
Ladies & Gentlemen..
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mwanamuke anaitwa malaya mwaume anaitwa muhuni

    ReplyDelete
  2. We vp,una uhakika gani kama mwanamke malaya,na mwanaume mhuni,hakuna specific name kwa wote,yeyote aweza kuwa malaya bwana au mhuni!

    ReplyDelete
  3. Kwa elimu yangu fupi niliwahi kumuuliza mwalimu wangu wa shule nnchini south africa kuhusu nani anapaswa kuitwa malaya kat ya mwanamke na mwanaume alinijibu kwa kilefu sana na kunifafanulia kwa mapana juu ya nani hasa muhusika wa kuwa malaya kwanza aliniambia kuna asilimia 100 ya malaya ni watu walio tawaliwa na mapepo wanahitaji deliver na aliniambia kuwa mtu mwenye akili timamu awezi kuwa malaya na kunambia wanafanya haya kutokana na changamoto mbalimbali za maisha na kusalitiwa na alinambia kuwa malaya ni wote wanaokutana na kujamiana au wanao uziana na kununuana wote ni malaya awe mwanaume au mwanamke kwahiyo wote ni malaya na wanatawaliwa na mapepo

    ReplyDelete
  4. Fucking shit, Malaya ni mwanamke ilivyo zoeleka but wote ni malaya . Mwanaume na mwanamke

    ReplyDelete

Top Post Ad