TID "WAKAZI ATAIMBA NYIMBO GANI BIG BROTHER AU ANAENDA KUONYESHA SWAGA ZA MAREKANI

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Week hii kwenye show ya Big Brother Eviction Amechaguliwa Mtanzania anayejulikana kwa jina la Wakazi kubarudisha jumapili hii, wengi hawamjui jamaa huyu , pia hana single ambayo watanzania wanaijua ..amekuwa akiishi Marekani muda mrefu na nyimbo zake nyingi zile za mix tapes...Sasa TID kaibuka na kusema haya hapa chini .....

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Let me talk kiswahili? Hivi nikikuuliza unichagulie watanzania elfu moja wakuinbie mstali mmoja wa wimbo wa wakazi wenye baa 3 mpaka 6 utapata wangapi kama sio upumbavu tubadilike jamani ili tuwe mfano tazama nando anafanya madudu ndani ya big brother why wanawashobokea wanaotoka marekani hau huwa wanagawana pesa nn huyo wakazi nimemjua jana tu baada ya kusikia kuwa anakuja south africa

    ReplyDelete
  2. Wivu. Wivu. Wivu. Hahahahahaha. Nenda wewe basi

    ReplyDelete
  3. tid anaweza kishenz kwanza swag zake bongo hakuna anae mpata yuko simple anaelewa,nenda kawakilishe tz,nando nae bba anafanya yake fresh 2.

    ReplyDelete

Top Post Ad