TID"SIO KWELI KWAMBA NYIMBO ZA ALI KIBA ZINAPENDWA MUSCAT OMAN, MIMI NDIO NAPENDWA ZAIDI HUKO"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 Khalid Mohamed, Top In Dar (T.I.D) ambae pia ni mmiliki wa Top Band amepinga vikali taarifa zinazoonesha kuwa Nyimbo za msanii mwenzake Ali Kiba zinasikilizwa zaidi Muscat huenda kuliko msanii mwingine wa Bongo Fleva.

Taarifa hizi zilizotolewa na mtandao wa Bongo5 ambao ulipata maelezo ya kina baada ya kuchat na mtanzania aishie nchini Muscat aliyetambulika kwa jina la Rayya Al Habsi aliyewapa tathmini kuhusu nyimbo za kibongo zinazosikilizwa zaidi huko mjini Muscat,Oman.

Rayya alisema nyimbo za Ali Kiba zinasikilizwa sana lakini pia wasanii wengine wanaopendwa ni Diamond Platinumz, Ommy Dimpoz na Dully Sykes.

Rayya aitaja pia upande wa mduara kuwa ni AT, Off side Trick na Kilimanjaro Band, na kwamba band inayofunika zaidi ni Twanga Pepeta.

Taarifa hizi zinakuja wakati ambapo T.I.D amepata deal la kwenda mjini Muscat kupiga show akiwa na band yake ‘Top Band’, na hivyo ameona kama taarifa hizi zimepotoshwa na yeye ndiye alistahili kutajwa katika nafasi aliyopewa ‘Ali Kiba.’ Na kwamba yeye ameshapiga show mara mbili na anaenda kwa mara ya tatu akiwa na band yake.

Kupitia ukurasa wake wa facebook T.I.D a.k.a Mnyama amedondosha  maelezo confidently.

“This came after I have been mentioned perfoming well its too late for this reminder its my time,and they listen to me alot its my third time perfomin there and this time with my band.”

Kisha akaambatanisha na kichwa cha habari chenye picha ya Ali Kiba kama kilivyoandikwa na Bongo5, yenye kichwa cha habari “Nyimbo za Ali Kiba zinasikilizwa zaidi Muscat ‘huenda’ kuliko msanii mwingine wa Bongo Flava.”
Well, yale yanaweza kuwa ni maoni ya Rayya, maoni sio utafiti rasmi japo unatoa picha ya jumla. Lakini inaonekana kama Top In Dar hataki kuwa Down any where hivi hivi.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

12 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hivi TID anapiga nyimbo zipi? mimi naujua mmoja tu unaitwa "zeze" alipokuwa amevaa jersey ya Michigan, ingawa sina uhakika kama anapajua Michagan kulipo.

    ReplyDelete
  2. TID, naona unajitahidi kutafuta mabifu ili urudi tena kwenye game. Mbona una wivu sana motto wa kiume???? Wakazi kaitwa kuperform BBA kuwakilisha tz ukaibuka na kashfa baada ya performance kimya umeumbuka. Now kasifiwa Ally Kiba tayari wivu umekujaaa hueleweki dogo kama umechuja jipange simama upya songa mbele huwezi kuwa unasifiwa wewe tu au kila promo upewe wewe tu.

    ulishavuma wakati wako now waachie wengine nao wavume. Usitafute kiki kwa nguvu.

    ReplyDelete
  3. Tid ni mkorofi korofi,na mke wake anakazi kwa huyo jamaaa..

    ReplyDelete
  4. kama wewe mnyama, nami mnyama pia, zaa wako upange sheriaaaa. Kiba wewe

    ReplyDelete
  5. Watu wa uko Muscat ndo wanasema,nyimbo zinazopendwa ni za Ali kiba,sasa kuna ubaya gani.?au ulitaka usifiwe wewe Lol

    ReplyDelete
  6. TID teja mzeee wa zeze kwishneiiiii

    ReplyDelete
  7. Kiba yuko juuu TID omba Kiba akupe dushelele yake utoe wivu

    ReplyDelete
  8. Huyu anany*ge nin, mbona hatulii mara wakazi sahv tena kahamia kwa kiba duuuuh

    ReplyDelete
  9. Huna lolote TID.

    ReplyDelete
  10. Wadau TID ni shoga wa siku nyingi sana,mabasha wote waliokuwa wanamla tako wameshafulia sasa anatafuta namna ya kutoka tena,msenge huyo fala,kiboko yake ney wa mitego.kiba yuko juuuuuuuuuiuuiiiuui

    ReplyDelete
  11. HAKUNA KITU, MAMBO YA KUMPAKA TID YA KIZAMANI, AMETOA MTAZAMO WAKE, SO KUMTUSI SIO USTAARABU, WABONGO TUNA PENDA SANA KUKUZA MAMBO NA CHUKI ZISIZO NA MAANA, ANA KIPAJI TID NA ANA NYIMBO NZURI PIA, NI KWELI ALI KIBA NAYE YUPO JUU BT WOTE WAKALII.

    ReplyDelete
  12. Hayo aliyosema rayya ndio ukweli,mimi naishi Oman miaka 5 sasa Ali kiba ndio anaongoza kwa kupendwa hapa,
    Unakutana na mwarabu mshashi yaani kiswahili hajui hata neno 1 lakini anasikiliza nyimbo za Ali kiba,
    Bora hata diamond anasikilizwa lakini tid hakuna

    ReplyDelete

Top Post Ad