WAKAKA..HATA KAMA HUJAMPENDA MDADA AKIKUTAKA MTIMIZIE

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mie Home Arusha, Baba mngoni, mama Mchagga.....kwa sasa nipo dar

Kuna mkaka anafanya kazi jirani na jengo letu, tunashea kantini.Ni mzuri na mpole sana

Sikutaka kumuliza kama ana mke- bcs siitaji ndoa naye bali kutoka naye at least twice.Nikafanikiwa kufahamiana naye na tukaanza kuchati.

Nikamwomba juzi jmosi- tutoke wote akanijibu ameshamaliza mshahara coz wanapokea date 18, nikamjibu usjali mie nitakuwa mwenyeji wako.

tukakubaliana kijihoteli anachotaka, saa kumi nipo chumban nampigia anatoa positive response, saa tatu usiku ananletea swaga za kishamba eti mkee wangu karudi, mara sjawahi kumdanganya mke wangu atanishtukia

Jana anantumia sms eti samahan aliniona kama malaya kwa sababu ya mimi kujipeleka kwake

-NB;! WAKAKA NAWAOMBA HATA KAMA HUJAMTAKA MDADA kwa kuwa huyo mdada ndiye aliyetaka gemu basi mpatie haki yake.Hujaombwa uoe ila gemu tu tena once kinachokukatalisha ni nini kama sio roho mbaya??

Source:Jamii Forums
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. jaman mimi mbona cpat bahat km hiyo kwel kwenye miti hapana wajenz

    ReplyDelete
  2. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  3. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  4. Salum umesababisha nicheke sana

    Admin ishu sio kupga game tunarud upande wa pili cha kwanza jamaa alikuwa mkweli kuwa ana mke wake.....pili binti tamaa za kihisia znampeleka puta n ashukuru Mungu cz hawez jua jamaa kamuepusha na nn

    ReplyDelete
  5. nipe hyo Golden chance nifunge Tanzanite Goals

    ReplyDelete
  6. Mm ni handsome boy na nina ngekewa ya kupendwa sana na mademu,ila tu napenda nimuanze mimi mwenyewe ,akinianza tu yeye au akijilengesha sana mapenzi yote hupeperuka hewani,imekula kwake!

    ReplyDelete
  7. acha usenge ww

    ReplyDelete
  8. Jamani kumbukeni UKIMWI hupo na unaua, ila kikubwa ni hizi mila zetu nzuri za kiafrika yakuwa mwanaume ndio mtongozaji na si mtongozwaji so issue uwa ngumu kwa mwanmme kutongozwa, acha tamaduni za kidhungu. Dada zangu acha kujirahisisha kihivyo, nyie ni watu wa thamani sana!

    ReplyDelete

Top Post Ad