WANAUME NA HOFU YA KUTOMRIDHISHA MWANAMKE KWA KUWA NA UUME MDOGO

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Utajuaje kuwa ni kubwa au ndogo? Obviously ni kwa kujipima....lakini wanaume wengi wanapenda au hata kujisifia kuwa wao ni "wakubwa", wakidhani ni moja ya sifa au hitaji la muhimu la mwanawake.

Umewahi kusikia wanawake wa Kitanzania/Afrika wanalalamika/chukia au kukimbia "mziki mnene" lakini wanawake wa Kizungu wanapenda/furahia? Well kwa mujibu wa maelezo ya mume wa rafiki yangu ambae ni Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Wanawake ni kwamba wenzetu (wazungu) hawana utaratibu wa kujiswafi (ondoa Utoko) mara kwa mara, wao wanafanyiwa na Daktari mara moja ndani ya miezi Sita.

Utoko ukikaa sana Ukeni husababisha Uke kuwa mpana...achilia mbali harufu mbaya na pengine kuwa chanzo cha maambukizi..

Sisi Wanawake wa Kitanzania ambao baadhi yetu tulipata bahati ya Kufundwa, kama unakumbuka unaambiwa wazi kabisa kuwa Utoko unaotoka Mchana unalinda Uke dhidi ya Magonjwa lakini ule wa usiku una "panua" Uke....ndio maana ni muhimu Kujiswafi asubuhi.


Sasa kama ilivyo kwa Wanawake kuwa tumetofautiana kimaumbile, hali kadhalika wanaume pia wametofautiana. Kuna kubwa na ndogo, ndefu na fupi, nene na nyembamba, zilizopinda na zilizonyooka, safi na chafu, laini na ngumu, zenye ukurutu na mororo/nyororo...n.k.


Kwa bahati nzuri inasemekana wanaume wengi wenye Asili ya kiafrika wamejaaliwa kuwana maumbile ya kutosha kulingana na maumbile ya wanawake wengi, lakini kinachosikitisha sio wanawake wanaojishughulisha sana na suala la ukubwa au udogo wa Uume  bali Wanaume wenyewe.

Mwanaume anaweza kuhofia kama Uume wake unatosha kumridhisha mwanamke au la! na ikiwa bahati mbaya anauzoefu wa "kuelea", kwamba alikutana na Mwanamke mwenye maumbile mapana/kubwa basi mwanaume huyo ataendelea kujishtukia kuwa yeye yupo on the small size.

Ukweli ni kuwa Size yeyote inaweza kumridhisha Mwanamke ikiwa wewe na yeye mtashirikiana na kuwasiliana wakati wa tendo, utundu, ubunifu na kujifunza namna yakutumiamaumbile yenu kulingana na ulivyojaaliwa ndio njia pekee itakayofanya uridhike na kuridhisha mpenzi wako.

*Unless ni chini ya Inchi Tano isimamapo, lakini yeyote kuanzia Inchi Tano ikiwa Ngumu(dinda) inauwezo wa kuridhisha mwanamke yeyote hata kama ni mpana kama Karai(karai? hihihi natania)...
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad