google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html WATANGAZAJI WA MWANZO KABISA WA REDIO ONE HAWATASAHAULIKA NA MBWEMBWE ZAO | UDAKU SPECIAL

WATANGAZAJI WA MWANZO KABISA WA REDIO ONE HAWATASAHAULIKA NA MBWEMBWE ZAO

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Chas Hillary a.k.a jitu
Julius Nyaisanga a.k.a anko j
Flora Nducha
John Dilinga
Sebastian Maganga
Sostenes Ambakisye
Dj Fast Eddy
Misanya Bingi
Asia Mohamed

Masoud Masoud
Hivi hawa watangazaji wako wapi siku hizi, wakati radio one iko hot hawa jamaa ndio walio ifanya ing'are sana wakati ule...
mwenye kukumbuka mbwembwe na utashi wao katika vipindi walivokuwa wakitangaza radio one atutupie hapa.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Chas hilal yupo BBC Swahili

    ReplyDelete
  2. Chazi hilary tishio na charanga time na ngoma zake za zamani halafu ukipiga simu anakuuliza huu mziki unakukumbusha wapi ukichapia anakwambia kwaheri

    ReplyDelete
  3. anko J yupo abood media morogoro

    ReplyDelete
  4. John dilinga jd->times fm

    chaz hillary->BBC swahili london

    masoud masoud->TBC

    ReplyDelete
  5. sebastian maganga yupo clouds fm!

    ReplyDelete
  6. Misanya bingi lecture udsm anaish bahari beach

    ReplyDelete
  7. sostenes kawa mfanya biashara mkubwa sana maana alkuwa anamilki kiwanja kinachoitwa club le mambo now kinaitwa 84 club na anaishi pand za kml.

    ReplyDelete

Top Post Ad