WEMA ASHAMBULIWA NA WATU BAADA YA KUWEKA PICHA HII

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

“Did I miss a spot…? I dunno,” ni maneno ya Wema kwenye picha aliyoiweka leo katika mtandao wa Instagram. Hata hivyo mashabiki wengi wamemshambulia mrembo huyo kwa kile wanachohisi hakupaswa kuiweka katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhani.

Haya ni baadhi ya maoni:

nanchesca5 Girl, I’m not trying to fix you,But this is the holy month.Keep it calm.It won’t hurt.

princesswawiey R u sure…ur a muslim? 1

khadijaumumustafa Wewe ni binti wa aina gani usieogopa mwezi mtukufu wa ramadhan ama kweli umeshindikana kabisa hata nachanguduwa uheshim huu mwezi ila wewe ni zaidi SubhanaLLAH.

sweettuma Punguza picha za hivyo vastaraa mwez ukiisha vaa utakavo jst jistir kwamda mfup hailet picha nzur .

mamu30 mhuu wema wangu ulivyokuwa na damu ya kunguni kesho tutaikuta hii picha kwenye mablog itakuwa gumzo ooh wema haheshimu mwezi mtukufu kumbe picha ya sikunyingi wao watadhani ndio unavyovaa hivi wakati wa mfungo lol

hazole Mnaolalamika mwezi mtukufu just unfollow her thn mwezi ukiisha rudini #GivePeopleSpaceToBreath

husnaomary Muislam mzma hata haushim mwez mtukuf wema….emu muogope Allah….picha gn hii na ramadhan hii….innallillah…nakupenda wema bt kumbuka kuwa huu mwez mtukuf…..heshma ishke mkondo wake…dis z Dunia baby…ickushikilie akili yako….nakupenda ndomana nakwambia.

hapnicole Mwenyezi Mungu anasema uwe msafi siku zote nd sio mwezi mmoja tu huo ni unafiki so bora yeye kuliko wewe unae mjaribu yeye kwa mwezi mmoja tu ni mtazamo

sele_yg Unanitega mwezi mtukufu..

noranuru what..ndo kuwatamanisha watu au ,mmh shoga namwezi huu wote..huchoki?
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

14 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. ebu kwenden zenu mwezi mwezi haya na hao wanofuturu wakimaliza wanashushia na bia.sigara na kuzini ucku kucha..u hav no right to judge her inawezekan unavaa vzr na kufunga bt uishi kusengenya wenzio mchana kutwa na swaum zenu

    ReplyDelete
  2. Ww hapo juu utakua kafiri tu usingesema hvo

    ReplyDelete
  3. Hadi mie leo nimeamua kutoa maoni duh, naona hata watu hawajui kwamba dhambi ni dhambi tu na na sio eti kwa vile mfungo, kwa hiyo mnakemea kwa vile mfungo ila mfungo ukiisha rhuksa? Wema nawe, ngojeaga mfungo bhana!

    ReplyDelete
  4. aisee wema unasakamwa kwani vipi au ndip kioo cha msaniii

    ReplyDelete
  5. Hakuna baya alofanya Wema, upumbv 2 wa wa2 wachache. Kwan kala nin chako, mbna kuna Ostadh huku kwe2 jion 2nakutana nae bar na anapiga kitimoto na bia? Kosa picha au? Ujinga kaen muwaz maendeleo co Kukalia majungu.

    ReplyDelete
  6. Kama mwezi mtukufu mliingia mtandaoni kufanya nini!jiangalie mwenyewe usiangalie bolt ya mwenzio jichoni

    ReplyDelete
  7. jamani malaya wenzie wanajaribu kumtetea,hii noma yani wanasapoti mambo kamahaya..?

    ReplyDelete
  8. wema alishaga laanika kitambo,hawezi badilika tena tumwombeeni dua tu.tusiwasahau nawanao msapoti pia!

    ReplyDelete
  9. Mbona nguruwe mnakula mwezi?

    ReplyDelete
  10. Duh co pic atakuseng'enya ndo dhambi kubwa san ila kujistiri ni muda wot co mwez wa ramadhani tu jamani

    ReplyDelete
  11. Haa huyo demu ni mx**ge xana

    ReplyDelete
  12. Kila mtu ana. Uhuru kuhusu mambo ya iman. Kila mtu kmpango wake mwez ndo nin sas?

    ReplyDelete
  13. co kiovyo mbona kawaida wa2 majungu 2 fanyen yenu.

    ReplyDelete

Top Post Ad