WEMA SEPETU SASA NATURAL-KOPE ZA BANDIA NA KUCHA TUPA KULE

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 
KUFUATIA Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, staa wa Filamu za Kibongo, Wema Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ au maarufu kama Madam amebadilika na kuondoa vitu vyote visivyo vya asili mwilini mwake.
 


Wema alitupia picha yake kwenye mtandao wa kijamii akionekana amekata nywele zote huku akiwa ameondoa kope za bandia na kutoa kucha alizobandika kuashiria kuuheshimu mwezi huu huku akibaki na kila kitu cha asili  yake.
 


“Mwezi Mtukufu ni wa kuheshimiwa na kuweka kila kitu pembeni, nafurahi kuwa hivi kwa maana hata kama nikifunga swala zangu zitapokelewa vizuri,” alisema Wema.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

12 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. jackie wa john17 July 2013 at 21:05

    Gud madame wema luv u mingi mingi

    ReplyDelete
  2. That's nice dear get away from shaitan

    ReplyDelete
  3. hakuna lolote malaya tuu huyo!!

    ReplyDelete
  4. Thats good,keep it up.

    ReplyDelete
  5. Mmmmmmmmmm ukiisha mwezi bhaaaaas

    ReplyDelete
  6. Haisadii kitu hata angejichuna na ngozi haisaidii kitu mnafiki mkubwa, dudu limetombwa mpaka limekuwa jeusi kama mkaa.

    ReplyDelete
  7. Hongera mamtoo,waache wakusema wasemayo mungu ni mwema anakujua,binadam sie midomo mali yetu,go ahead et wema

    ReplyDelete
  8. Mbona ngozi ya bandia hajatoa au umesahau kuwa hana ngozi ya asili (mkorogo)

    ReplyDelete
  9. mi nashangaa...hizo picha si mziweke kama ushahidi ndio tuamini acheni kufanya mambo kienyejienyeji.

    ReplyDelete
  10. me hilo likenge hapo pemben yake cjui BILAL ptyuuuuuuuuuuuu limekutengua udhuuu kabsa

    ReplyDelete
  11. Mshukuru Mungu Wema kwa kuwa ameingia kwenye akili yako na kukukumbusha juu ya uwepo wake na wajibu wako kwake, mwanzo mzuri ku uheshimu mwezi mtukufu wa Ramadhan na muombe mungu akufungulie zaidi ili maisha yako ktk siku zote za mwaka uonyeshe utii huu, chagua mmoja akuoe, uishi kwa kufuata amri zake na fanya biashara zako zote zilizo halali na mungu atakuzidishia

    ReplyDelete
  12. Aoteshe kabisa na hizo nywele (kope za macho) alizokwangua.

    ReplyDelete

Top Post Ad