WEMA: SIACHI MKOROGO HADI MADUKA YAFUNGWE

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

THE big boss wa The Endless Fame Production, Wema Isaac Sepetu ametundika mtandaoni picha zinazoonesha mapaja yake jinsi yalivyoharibika na kuweka michirizi ambapo alipoulizwa na shushushu wetu kulikoni, alisema kuwa hataacha mkorogo hadi maduka yafungwe.
 
Wema katika pozi linaloonesha mapaja yake jinsi yalivyoharibika.
Baada ya staa huyo wa filamu za ‘kikwetukwetu’ kuulizwa na kujibu hivyo wikiendi iliyopita, alitundika picha nyingine kwenye ukurasa wake katika mtandao wa kijamii wa BBM zikimuonesha akiwa nyumbani kwake, Kijitonyama jijini Dar huku madhara ya mkorogo yakionekana waziwazi kwenye mwili wake.
..Mapaja ya mrembo huyo.
Baadhi ya marafiki zake walianza kujadili namna alivyoharibika na wengine kudai matumizi ya vipodozi vikali maarufu kwa jina la mkorogo ndiyo vimemfanya apasuke kiasi hicho.

Wema, baada ya kupokea maoni mengi juu ya picha hizo mengine yakiwa ni ya kejeli, aliwajibu kwa kuandika kuwa hataacha matumizi ya mkorogo hadi maduka yanayouza yafungwe.
Wema alipotafutwa na gazeti hili ili aweze kuweka wazi madai haya hakutoa ushirikiano kufuatia simu yake ya kiganjani kuita muda wote bila kupokelewa.

Source:Global Publisher
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

15 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kila mtu anauhuru wa kufanya anachojickia

    ReplyDelete
  2. Vizurii sana nmelipenda jbu lake maana wamezidii kumuandama kwani ni yy tu peke yake anaetumia mkorogo wapo wasanii kibao wanatumia ila wamemuona wema tu

    ReplyDelete
  3. ngozi imesha expire,alikua bint mzuri sema ulimbukeni umemharibu na sioyeye tu madada wote wanaopenda kua weupe wamepoteza mwonekano.

    ReplyDelete
  4. Ngozi yako tayari imeaathirika ..kusema hivo unamfurahisha nani?

    ReplyDelete
  5. mnawashwa hii ni michirizi ya unene unapotumia chubu ngozi inaachama tena ila kuhusu michiri mfuhue meo kama ameanza kunenepa uone kwenye hips na gotin hana michirizi?mimi situmi ila michiri ya hips ninayo inamaanisha kuwa ninaongfezeka

    ReplyDelete
  6. jibu alilowapa la tosha kila ppl na urembo wake

    ReplyDelete
  7. What on earth as this world turn into.LESA SOMONE. INDEED THE CREATOR SHOULD COME AND RESCUE THIS WORLD...

    ReplyDelete
  8. What on earth as this world turn into.LESA SOMONE. INDEED THE CREATOR SHOULD COME AND RESCUE THIS WORLD...

    ReplyDelete
  9. jifariji mrembo coz huna jinsi ya kuirudisha hiyo ngozi...

    ReplyDelete
  10. mmh ukisikia majanga ya ngozi ndo hayo

    ReplyDelete
  11. Vericose Vein mwanawane kwa wale wenye rangi nyeupe is easy to see them hata angekua hatumii mkorogo hiyo michiz bado angekua nayo mauneneee hayo,ila jamani africa si free country mwacheni akikoboe kwa raha zake.

    ReplyDelete
  12. mmmmmmmmmmmmmmh we are getin tired of the same stories dat her lyf kusuka ama kunyoa and ndivyo alivyojichagulia kuishi kwenye hii dunia

    ReplyDelete
  13. stay natural!

    ReplyDelete
  14. Kwan mkorogo unauacha au unakuacha?? Mkorogo ukikuamulia hata utumie wa milion kwa wik utadunda..

    ReplyDelete

Top Post Ad