BAADA YA COCA COLA KUMLETA DIAMOND NA NDEGE BINAFSI KUTOKA KENYA HIKI NDIO AMEFIKIA KUKIFANYA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ukimpigia simu na Diamond Platnumz na isipokelewe, usimind sana, sababu hafanyi makusudi, anakimbizana na schedule za kupiga hela tu.

Baada ya jana Cocacola kumchukulia private jet toka Nairobi hadi Dar es Salaam, Bongo Flava Prince, Nasib ameingia mzigoni kushoot tangazo jipya la Cocacola. Kwenye picha za utengenezaji wa tangazo hilo alizoziweka kwenye Instagram, Diamond anaonekana akitembea huku akinywa soda hiyo.


Source:Bongo5
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mmmmmm haya yetu machoooo

    ReplyDelete
  2. Haya majanga sas bada kufulia anarudi,huu ni mikwara 2 mbona alitangaza kuokoka y alishindw wokovu?

    ReplyDelete

Top Post Ad