BIBI ‘MCHAWI’ AANGUKA WAKATI AKIWANGA CHANIKA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

BIBI mmoja ambaye hakuweza kupatikana jina lake mara moja, jana majira ya saa mbili usiku maeneo ya Chanika, jijini Dar es Salaam alidaiwa kuanguka wakati akiwa katika harakati za kuwanga ambapo wakazi wa hapo walimkamata na kuanza kumhoji kwa maswali mbalimbali kama anavyoonekana pichani.

(PICHA: IMELDA MTEMA, GPL)
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ya kwel hayo... mbona ktk picha wanaonekana wanaume tu ina maana wanawake hawakuwepo? Siamini.

    ReplyDelete
  2. habari za kweri

    ReplyDelete
  3. wazee wanateseka sana duniani tuwapende,kuwajali na kuwasaidia jamani

    ReplyDelete

Top Post Ad