BREAKING NEWS:SHEIKH PONDA AJERUHIWA VIBAYA BAADA YA KUPIGWA RISASI KWENYE MHADHARA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Dhahama hiyo imempata baada ya kushuka kwenye tax ambako kulikuwa leo akiendesha mhadhala baada ya mhadhala huo kukawa kama kuna maandamano kueleke barabarani, gafla polisi walitokea na kuanzanza kutawanya wakati huo yeye alikuwa hayupo. Ndipo mda mdogo akawasili akashuka na ndipo akapigwa risasi. ------------------------------------ 


 UPDATE: 

 Haijulikani hali yake. RPC, Faustine Shilogile, anasema hali ni shwari ila Ponda hajui hali yake Maana polisi walizuia gari la Ponda wamkamate, lakini wananchi wakaanza kushambulia polisi ndipo wakarusha risasi hewani kutawanya watu, lakini wananchi wakamtorosha. Anasema taarifa ni nyingi za uongo, hakuna watu polisi wala hospitali waliozingira na anaomba anayejua alipo atoe taarifa.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

17 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Tanzanians ul soon be like Nigeria....

    ReplyDelete
  2. hii nch xaxa inaelekea pabaya m2 acfanye k2 huyo ponda koxa lake nin?au anawahu2bia waislam wenzake?lkn kwa sabab ni ponda utawackia 2 majib watakayotoa lkn angekua padr au askofu wangeitwa interpool kuja kuchunguza,huyo ponda ataonekana ni mchozez 2 so yaliyomkuta ni hak yake,na wameshafanya fashen xaxa kupigana risas ukiwa uko mstar wa mbele kutetea maslah ya wa2 flan wanakushoot,kukung'oa kucha au kukumwagia tindikali.

    ReplyDelete
  3. Tunapoelekea sipo! Serikali kinawauma nini? Mpaka mumpige ponda:

    ReplyDelete
  4. Its true ponda is dead?

    ReplyDelete
  5. Hiv Serekali hakuna njia mbadala za kutumia kutuliza fujo au ghasia bila kutumia silaha za Moto?

    ReplyDelete
  6. Huyu ponda anachochea sana udini. Anajenga chuki kati ya waislamu na wakristo. Hivi raisi wa nchi si mwislamu asa ponda anaeneza chuki kuwa waislamu wanaonewa na makafiri. Ponda anasema watu wote wasio waislamu ni makafiri na wanastahili kuuwawa. Na kuwauwa makafiri ni dhawabu.

    Mshahara wa dhambi ni Mauti.

    Rest in Hell Ponda.

    ReplyDelete
    Replies
    1. we vutu hujielewi kaa kimya , kama una la kusema kwanza funika ilo vutu lako lioshe lisinuke mavi halafu ndio uje hapa uropokwe . kunguru mmoja we

      Delete
  7. Watanzania ipo ck tutataman kurudisha aman iliyopo sasa tutashindwa tunasahau kma kuna mungu na kujifnya tumejiumba wenyewe mungu c wawakristo wala waislam ni wa kila mtu tubadilike

    ReplyDelete
  8. Pond a kwishney,nampongeza hiyo mdunguaji yani sniper WA ffu,taqbir,taqbir,

    ReplyDelete
  9. Tz nt fare killing civilians

    ReplyDelete
  10. Polisi kamiss target angelenga asshole ya pond a,Allah kbaru,Allah kbaru

    ReplyDelete
  11. KAFIR KAPUCHWAPUCHWA

    ReplyDelete
  12. taqbir taqbir taqbir taqbir. hata sielewi maana yake. au sijui ndiyo huwa wanasema wakishajilipua!!! na kusubiri kuingia peponi. jamani imani nyingine bwana. wapewe tu nchi yao. sipendi kweli mimi malumbanao ya kidini. si ya kikristo au ya kiislamu. kila mtu ana uhuru wa kuamua kuabudu. hata nikiamua kuabudu ng'ombe it non of anyone business. kwani ni maisha yangu. hayakuhusu wewe wala familia yako.

    ReplyDelete
  13. mnaofurahia kifo chake wote wasenge tu!

    ReplyDelete
    Replies
    1. mtakapoingizwa kaburini ndio mtajua maana ya takbir na nini uislam sio kosa lenu hamjui mnachokiabutu ndio maana maneno ya hovyo yanawatoka

      Delete

Top Post Ad