"CHADEMA WANATAFUTA UMAARUFU KUPITIA JINA LANGU"...MWIGULU NCHEMBA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kumekuwepo na jitihada za makusudi za chadema, baadhi ya magazeti yanayofanya kazi ya uenezi ya chadema na wafuasi wa chadema kufanya kila njama kunichafulia jina kwa sababu na manufaa yao wayajuayo wenyewe.

1) Leo (Alhamisi) wameibuka na kihoja kuwa Dr Slaa hatarini, wameweka na picha yangu. Hivi mimi nihangaike na Dr Slaa wa nini? Kwanza mimi ndio naanza siasa, na yeye ndio anamaliza, in no way he is a threat to me.


 I do not find him a competitor and he cant halt my political ambitions. Wengine wanadiriki kumpima slaa namimi, huyu sio saizi yangu na yeye anajua, hana kipaji and and he is outdated.


Am 38 yrs old and he is around 70 years, WHO WAS SLAA WHEN HE WAS AT THE AGE OF 38 yrs (my age), no body. WHERE WILL I BE 2YEARS TO  
10 YEARS FROM NOW? 


KAMA SASA TU CHADEMA NZIMA KUANZIA MAKAO MAKUU MPAKA VIJIWEN KWAO agenda ni MWIGULU, MWIGULU.? YOU PEOPLE TAIFA HILI LINA MASWALA MENGI YA MHIMU, STOP MAKING MWIGULU AN AGENDA FOR YOUR PARTY.


2) Majuzi hivi bila aibu mkasema Mwigulu anahusika na kulipua bomu mkutano wenu,kisa Nilikwepo Arusha. May 5 pia nikiwa Ethiopia kuna bomu lililipuliwa hapohapo ars mbona hamlisemi nani alilipua hilo.

 Zote hizi ni jitihada za kufunika uovu wenu mkidhani kwa kuwa nawasema kuhusu ugaidi wenu basi mkigeuza kibao nitaacha. IT IS NEITHER MY NATURE NOR MY CHARACTER TO BE AFRAID. 

This won't stop me, subirini kesi ianze watanzania watawajua cos mtu wenu alikiri kila kitu ninyi mnacheza na akili za watu tu kwa propaganda kwa manufaa ya kisiasa. 

Eti anavaa kofia ya china na bomu lilitengenezewa china hivyo anaweza kuwa mhusika. What a myopic statement? Mbona simu za kichina mnazo? Zinauhusiano na mabomu?

3) Red Brigade nayo mmeshindwa kusema kwanini MKT wenu alisema hamtategemea polisi wala Jeshi la wananchi? Hii ndio tofauti na greenguard, badala yake hoja imekuwa Mwigulu mpaka mnatengeneza na picha za kuunga.

4) Hata mkanda ule mnasema nilimpanga mtu arekodi mazungumzo, sawa, je nilimpagia na kiongozi wenu aseme yale aliyoyasema? Au hata hamjui alisema nini? Cos alishakiri yote kwenye maelezo yake polisi, je nilimpanga naye aseme yale ili arekodiwe? 

Hivi vijana wa chadema nani kawaroga? Mpaka you a missing even such a plain fact. Be informed that God has a complete plan of my life. You can not tarnish or halt it. I will move from Glory to Glory. 
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Useless man,ur talking nonsense,chadema wahangaike na wewe for what,watafute umaarufu kupitia wewe? Yaani we huna akili kabisa,zimeenda likizo au? Eti unajilinganisha na Dr.Slaa,yaani hapo ndo umeniacha hoi,nyambafu,i hate u

    ReplyDelete
  2. Mchemba ni kijana wa ajabu sana, mpaka anamuingilia mungu na kusema habari ya mambo yajayo ambayo hiyo ni mungu pekee ndiye anayeyajua.

    Siasa ya Kesho nchema huijui wewe kazana na siasa ya wakati huu.

    ReplyDelete
  3. Watu watakushangaa sana unapokurupuka na kuanza kujiringanisha na dr Slaa. na nini cha ajabu mbali na uvurugaji wa amani tu. nashiriki mbinu nyingi sana zakigaidi ili kuwakwamisha chadema. Unadhani nani hakujui tena mtoto mdogo.

    usivyo na aibu tena ulivyo mhuni unaongeza lugha za ajabu ajabu bila hata kujali unachokiongea kwamba unaweza wekwa kundi gani na sisi wazee. unachanganya changa lugha na kizungu unafikiri huo ndio ufahari.

    Wewe utasikizwa na watoto wadogo wa umri wako ambao wana mambo ya kitoto kama wewe. Ukome kujiringanisha na dr slaa.

    hata mwenyekiti wa chama chako wala huwa hathubutu kujiringanisha na Dr wewe umeyaanzaje ?

    ReplyDelete
  4. Ni kweli kabsa chadema wanatoa kafara kujiimarisha kisiasa. Wanalipua mabom ili wapate crdt. Mbowe na slaa Et mchngj wote wauaji mnatafta madaraka kwa mauaji..kuongoza nch mchezo mataua hadi hadi mtazeeka...mugabe oyeee chezea siasa wewe?

    ReplyDelete

Top Post Ad