COCA COLA WAMCHUKULIA DIAMOND NDEGE BINAFSI KUTOKA NAIROBI KUJA DAR BAADA YA KUKWAMA UWANJA WA JOMO KENYATTA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Baada ya tukio la moto la leo kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta, JKIA jijini Nairobi, Kenya, lililosababisha uwanja huo kufungwa kwa muda na kumfanya Diamond Platnumz aliyetua alfajiri ya leo akitokea Afrika Kusini kukwamwa, Cocacola imemchukulia ndege binafsi itakayomleta Dar es Salaam.

Kupitia Instagram, Diamond ameshare picha wakati akipenda kwenye ndege hiyo ambamo atakuwa peke yake na rubani.

“Had no choice than dat, coz i miss my mum and Baby lyk crazy… @ Wilson Airport Nairobi… can’t wait to see you @rommyjones #I #MySelf #AloneInTheJet #CocaBoy …. #Cocacola Mmetisha sana, asanteni sana,” ameandika.

Diamond ni balozi wa Cocacola.

Hizi ni bei za kukodi ndege binafsi nchini Kenya.

Air Charter Rates at HKNW
Turbo-Props: $1,200 – $1,800/hr
Light Jets: $1,900 – $2,650/hr
Mid-size Jets: $2,700 – $3,400/hr
Large Jets: $3,600 – $7,800/hr

Source:Bongo 5
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad