DEMU MKENYA AFUNGUKA UHUSIANO WAKE NA DIAMOND PLATINU

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Demu Mkenya Angel Maggy, aliyedaiwa kutoka na Staa wa Bongo Fleva Nasib Abdul‘Diamond Platinum’ambaye ni mtangazaji wa kipindi cha Tujuane cha kituo cha Tv cha KTN cha nchini humo amefunguka na TEENTZ kuhusiana na uhusiano wake na msanii huyo wa Bongo


Akizungumza kwa njia ya simu kutoka Jijini Nairobi alisema kuwa hana uhusiano na msanii huyo na anashangaa hayo maneno kusambaa na kwamba yeye ni shabiki mkubwa wa Diamond.
‘No …Diamond is apal lyk any other..yy shld I date him??Am not in love with him’alisema Angel.
Alipoulizwa kwanini ameamua kuchora tattoo ya msanii huyo kwenye mkono wake alisema kuwa kuchora…


Jast tat I got atattoo named diamond doesn’nt mean ama dating him’alisema Angel.
Kwa mujibu wa vyombo vya habari za burudani vya Kenya, zilisema kuwa ishu ya kutoka na Diamond ilianza kuvuma mara baada ya kufanya shoo mbili katika Miji ya Nairobi na Mombasa nchini humo,ambapo aliporejea Bongo ndipo ukaibuka mlipuko wa habari zilizomhusu na mrembo huyo.


Jast tat I got atattoo named diamond doesn’nt mean ama dating him’alisema Angel.
Kwa mujibu wa vyombo vya habari za burudani vya Kenya, zilisema kuwa ishu ya kutoka na Diamond ilianza kuvuma mara baada ya kufanya shoo mbili katika Miji ya Nairobi na Mombasa nchini humo,ambapo aliporejea Bongo ndipo ukaibuka mlipuko wa habari zilizomhusu na mrembo huyo.

Ilisemekana kuwa alipokuwa akifanya shoo kwenye Ukumbi wa KICC, Nairobi siku ya kwanza, Diamond aliimba wimbo wake wa Ukimuona maalum (dedication) kwa ajili ya Angel, jambo lililomfanya mrembo huyo kuonekana ‘spesho’ miongoni mwa maelfu waliohudhuria onesho hilo.

Imeripotiwa kuwa baada ya shoo hiyo kumalizika USIKU, Angel alionekana ‘beneti’ na Diamond wakielekea katika hoteli aliyofikia staa huyo Nairobi.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

12 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. washakulana hao wanakana tuu

    ReplyDelete
  2. Jamaa noma. Akichekewa tu basi

    ReplyDelete
  3. endekeza zinaa tu utaiona faida yake

    ReplyDelete
  4. yy ni wa kipindi cha tujuane,ashajuana na msanii wake,kwann anakana

    ReplyDelete
  5. Makubwa acha kijana afanye kazi yake ya kiume, ivyo is ni vyakula vya wanauuuuumeeeeee!!! Chezea mu bongo wewe.

    ReplyDelete
  6. kashachapwa nao huyooo.. Anaona noma kuitwa jamvi la wagen au? Mavi yake.

    ReplyDelete
  7. nahao wasichana wanaotembea nahilo lijamaa hawaoni kinyaa jitu linanuka mdomo utadhani chemba

    ReplyDelete
    Replies
    1. haaa mdau ulijuaje ulimnusa au???/maana mabishoo weng ful kunuka midomo

      Delete
  8. USHAURI NASAHA@DIAMOND

    NIKIWA KAMA MZAZI NAMPONGEZA KWA KAZI YAKE NZURI ANAYOENDELEA KUIFANYA, LAKINI TU NATAKA KUMKUMBUSHA KWAMBA" SI KILA KING'ACHO BASI NI ALMASI" AKUMBUKE KUNA SUALA LA MARADHI, NA KWA RIKA LAO WANAPATA MAJARIBU MENGI TU, KUNA WENGI WA KIZAZI KIPYA WALIPITA KATIKA WAKATI HUO HUO LAKINI SASA HAWAONEKANI, HAWAVUMI TENA NAYE ASIJEIPOTEZA TUNU AMBAYO AMEBAHATIKA KUIPATA TOKA KWA MUNGU. KAZI ZAKE NI NZURI. NAMPONGEZA SANA, ASIJE LEWA SIFA HAWA WANAOMSIFIA KWA SASA NDIO HAO HAO WATAKAOKUJA MCHEKA BAADAYE.

    ReplyDelete
  9. maana imandikwa kama yule achekae leo basi kesho atanuna.na mwenye huzuni basi ksho atach

    ReplyDelete
  10. maana imandikwa kama yule achekae leo basi kesho atanuna.na mwenye huzuni basi ksho atach

    ReplyDelete
  11. Dac ma niga bro platinamuz, kama mademu wanashoboka chapa nao ucje onekana jogoo hawiki bureee hao c wanakubali wenyewe kwan unawabaka

    ReplyDelete

Top Post Ad