google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html DIAMOND ATOA SABABU YA KUCHELEWA KUPANDA STAJINI MOMBASA MPAKA WATU WAKAANZA KURUSHA CHUPA | UDAKU SPECIAL

DIAMOND ATOA SABABU YA KUCHELEWA KUPANDA STAJINI MOMBASA MPAKA WATU WAKAANZA KURUSHA CHUPA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kupitia kipindi cha Mambo Mseto cha Radio Citizen, Diamond amefunguka kuhusu sababu ya yeye kuchelewa kupanda stejini.

“Nililipwa pesa nusu, nikawa natakiwa nikifika Nairobi nimaliziwe pesa yangu yote iliyobaki lakini baada ya kufika Nairobi nikafanya show nikapewa pesa tena nusu iliyobaki sikupewa,” amesema Diamond.

“So kufika Mombasa nikasema siwezi kupanda kwenye stage mpaka nimaliziwe pesa yangu sio, kwasababu ilikuwa imebaki kama dola elfu sita na kitu, saba kasoro hivi. Nikasema mpaka nimaliziwe pesa yangu ndio nipande kwenye stage. Sababu kulikuwa na uongo uongo kidogo, ‘ukishuka utapewa’ unajua sisi wasanii tulishadhulumiwaga sana, mtu huwezi kumwamini kwamba upande stejini halafu ushuke, lazima upewe chako.

Nikasema ‘mimi nataka mnilipe hela yangu ndio nipande kwenye stage’. Halafu wakati huo show imejaa, sijawahi kuona show iliyojaa hivyo. So baada ya kukamilishiwa pesa yangu ndio nikatoka nikaenda stejini saa tisa hiyo na kitu. Before kabla sijafika watu walikuwa wameshaanza kufanya vurugu, watu walipiga machupa nasikia, vurugu kinomanoma. Lakini namshukuru mwenyezi Mungu nilipofika mimi zile jaziba zote zikapungua watu walikuwa na mizuka.”
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. before kabla sijafika!!! we mavi sana!
    JEMBE JIKE

    ReplyDelete
  2. wee jamaa bwege sana umemtukana nani sasa wewe ndo wale ambao hamjielewi'mtu ametoa chake cha moyoni.sungura wee usirudie tena kutoa matus.

    ReplyDelete
  3. Sawa jembe unachukua chako then unawafanyia kazi yao jamaa sungura sana hao!

    ReplyDelete
  4. Hahahahahhahahaha noumaaarrrr sanaaaaaaaa!!!

    ReplyDelete
  5. Kumbe Diamond anategeneza pesa kubwa sana kwani iwapo dola hizo elfu saba zilizokuwa zimebaki ilikuwa ni kama robo malipo, basi trip hiyo alilipwa dola 28000. Ni hela ya nguvu sana kwa kazi ya siku mbili wakati kiingilio pale Mombasa kilikuwa KSh 600 tu.

    ReplyDelete
  6. mmmm umezid chelewexha newz...auko update

    ReplyDelete
  7. alikuwa anatombana na mdemu wa kikenya kwan hamjui mxiiiu awadanganye nyie

    ReplyDelete
  8. Pambafuuu zenu na huyo diamond wenu

    ReplyDelete

Top Post Ad