DIAMOND NA LINAH SANGA NDANI YA MAPOZI YA UTATA KWA MARA NYINGINE TENA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Tabia mbaya! Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ amenaswa na msanii mwenzake, Esterlina Sanga ‘Linah’ wakiwa kwenye mapozi ya kimahaba ambayo yametafsiriwa vibaya

Katika tukio hilo lililojiri juzikati kwenye Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mjini Tabora ndani ya Tamasha la Serengeti Fiesta, Diamond alishuhudiwa akiwa amempakata Linah ndani ya basi huku mikono ya jamaa huyo ikishika maeneo nyeti.
Mara baada ya kutimba uwanjani hapo wakitokea hotelini tayari kwa kufanya shoo, Diamond na Linah walibaki kwenye basi wakiwa wamepakatana na hata msichana huyo alipomaliza shoo yake kali mishale ya saa 3: 00 usiku, alirejea mikononi mwa Diamond ambaye alimpachika mapajani

Shushushu wetu aliwapiga chabo ‘wakifanya yao’ hadi Diamond alipokwenda stejini na kuangusha bonge la shoo huku akimwacha Linah mpweke.
Kwa mujibu wa mashuhuda, kama kweli mchumba wa Diamond, Penniel Mungwilwa ‘Penny’ anakubali mambo kama hayo, basi atakuwa na roho ngumu au moyo wa chuma.



Mwanahabari wetu alipomuuliza Linah kuhusu ishu hiyo, alifunguka: “Weweee…hakuna ni mapozi tu na wala usiandike hiyo habari.”
Siyo mara ya kwanza Diamond na Linah kuripotiwa wakiwa wamepozi kimahaba kwani mwaka jana walifanya hivyo wakiwa jijini Mbeya hivyo kutafsiriwa kuwa inaonekana ni katabia kao kabaya wanakaendekeza.

SOURCE: GPL
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

14 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Dah utadhani hakuna ukimwi siku hiz kweli hamuogopi nyie watu.uyo penny nae yawezekana mgonjwa angekuwa mzima asingekubali haya.

    ReplyDelete
    Replies
    1. penny mgonjwa huoni shavu lilivyomshuka mdau

      Delete
  2. Tatizo Penny mvuto F jamani hata avae jishela hapendezi yuko ka jibaunsa....na hata sijui huyo dai alifata nn pale,bora hata angekuja kwangu toto la kitanga...toto la pwani pure...na huyo linah nae mi naonaga afanana na joti au wana undugu ana kashep kazuri ka mimi vile ila reception inamuharibia jamani..#team majungu#

    ReplyDelete
    Replies
    1. Daaaa mtoto wa kitanga? kila dema anamtaka Daimon unafikiri utapata mapenzi ya kweli kwake au unafuata mshiko?ambao asilimia kubwa ya vijana wachakalikaji wanao?Hilarous

      Delete
    2. irla penny ni mubays jaman kama dume na miguu ya kushotp duh atakuwa diamond kalishwa limbwata tuu

      Delete
  3. Tomba kijana, kuma hazina mwisho.

    ReplyDelete
  4. ww unatisha diamond na linah tena kesho tutasikia mtoto wa obama unachapa. ww ndo sukari ya warembo fanya kazi uliyosomea mbaba by tin ruaha{kilombelo}

    ReplyDelete
  5. Lina mbona unajivunjia heshima?kwann ucfanye hayo mambo na Amin?mshikaji anajielewa,yan madem woooote bongo mnamtaka diamond!!!!penny nawe et umekaaaaza roho,utaumia,ohooo

    ReplyDelete
  6. siti jamboooo mimi lina jieshi diamond tulia

    ReplyDelete
  7. .........HAHAHA NILISHASEMAGA CKU NYINGI TU,,,,!! HUYO BWS MDOGO SIRI YAKE ANAYO MAMA YAKE...!! ALIMHARIBU ALIPOKUWA ANAMBUGIA UCHI WAKE NA MAJI YA UVUGUVUGU KISHA ANAYATEMEA KWENYE KITOVU AKIWA BADO MCHANGA, AKIOGOPA MWANAYE ASIWE HANISI KWA KUDONDOKEWA NA MRIJA WAKITOVU WAKATI UNAKATIKA,,,,SASA YEYE ALIZIDISHA SANA,,,MTOTO SASA IMESIMAMA JUMLA,,,MIMI SIKUWEPO ILA KWA UTAALAMU NAJUA HIVYO,,SIRI ANAYO MAMA YAKE NDIYO MAANA HUWEZI KUMSIKIA AMEONGEA CHOCHOTE JUU YA HILO,, WA KUMTIBU NI YEYE,,SASA ANAONA AIBU HAWEZI MAANA MATIBABU YAKE YATAKA MOYO,, YEYE AMWACHE AWAFANYE TU HAWA WATOTO WAPENDA NGONO,,,NA DOGO ANA KIFAA C MCHEZO HADI WANAKUNYA...!CHEZEA MADAWA YA KIZAMANI WEWE....!!

    ReplyDelete
  8. nawewe umuongo sana ulikuepo

    ReplyDelete
  9. duh! bora peny ana mvuto japo c xana bt lina bado ushamba wa makete anao na ndo maana anakurupuka.

    ReplyDelete
  10. Daah! noma sana sukari ya warembo hinawakimbiza tomba yeyote atakaye jipendekeza. piga 2u.

    ReplyDelete
  11. Naona Linah akurupuki anafuata sukari ya wa rembo.2u

    ReplyDelete

Top Post Ad