DIAMOND NOMA SANA: ONA ALICHOKIFANYA SOUTH AFRICA ALAFU MSEME DIAMOND ANALOGA-HARD WORK PAYS BWANA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Bongo Flava Prince, Diamond Platnumz yupo nchini Afrika Kusini kishule na kikazi pia. Staa huyo wa Kesho ameshoot video ya wimbo wake mpya ambao bado haujulikani ni upi mpaka sasa.
Hata hivyo tofauti na video zake za awali, hii mpya amekata kisu kirefu zaidi kwa kushoot na miongoni mwa gari yenye thamani zaidi duniani, Ferrari. Cha kufurahisha zaidi ni kuwa gari hiyo inayotengenezwa na Waitaliano, imewekewa namba za gari binafsi kwa kuandikwa ‘Platnumz’ na Wasafi’.
0b54d01efdd411e2bd3c22000ae90db5_7
Mafundi wa Afrika Kusini wakihakikisha plate ya Wasafi imekaa vizuri
0f7a71cefdef11e2999e22000a1f8afc_7
dd5ff8c8fdce11e2aa0322000a1fa408_7
Inaonekana hii, Diamond Platnumz aka Coca Boy amejiandaa kwenda international zaidi.
Picha: Babutale (Instagram)
Source:Bongo5
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Binafsi Platnumz kanilazimisha kumkubali...
    Nilikuwa naona anabahatisha ila ukweli ni kwamba jamaa anajua tna anajua sana..
    Mazuri tunasifia.

    Big up Diamond

    ReplyDelete
  2. nnachojifunza ni. Kimoja tu kutoka kwake,jamaa ni hardworker na mtafutaji wa kweli,waganga wanaweza kuwa ni platform tu ya ye kutokea ila kazi anaijua na uwezo anao!!

    ReplyDelete
  3. Nilikudis xana ila baba we mbayaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa lazima wengine wafuate hizo nyayo

    ReplyDelete
  4. big up bro thus grate prshate it.

    ReplyDelete
  5. kiukwel haters mioyon mwen mtamkubal sana ila machon mtaonyesha kumdis then nyie ndo wakwanza mtalike ngoma ikitoka, big up master

    ReplyDelete
  6. kiukwel m penda xana baba joket aka mme wa wengi mzaz anapiga kaz xo maxala wanaods ntawaita MABEZEWI yan man below zero wisdom.DIOMOND iz best hardworker in dc gem.

    ReplyDelete
  7. Watanzania kazi xana. Mimi nilifikiria kaporomosha bonge la show kumbe kutumia gari hilo. Mbona hapa yanakodishwa kwa $149 unaendesha peke yako au kama una tetemeka kuendesha gari hilo la bei mbaya unachukua driver ni cheaper $99. na kuna race track ukitaka kwenda huko unachukua gari unaendesha speed zaidi ya 100. Mtu kama yupo kwenye production ya music itashindwa nini kukodisha hiyo gari? I could careless abt what ic in the music but a good quality video inayoeleweka is what makes me tickle.

    ReplyDelete

Top Post Ad