DIAMOND NOMA:AMZAWADIA MZEE GURUMO GARI MPYA KATIKA UZINDUZI WA VIDEO YAKE MPYA "NUMBER ONE"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

AKIMKABIDHI MZEE GURUMO KARI 

Diamond Platnumz jana alifanya uzinduzi wa video ya wimbo wake mpya, Number 1 kwenye ukumbi wa Serena Hotel jijini Dar es Salaam. Uzinduzi huo ulihudhuriwa na watu mbalimbali wakiwemo ndugu zake, marafiki, wasanii wenzake na wadau mbalimbali wa muziki nchini.

Kwenye uzinduzi huo pia, Diamond alimpa zawadi ya gari msanii mkongwe aliyetangaza kustaafu muziki, Muhidin Gurumo kama heshima kwake.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

21 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Dogo umetisha wewe mkali.

    ReplyDelete
  2. M'Mungu akuzidishie..

    ReplyDelete
  3. Vzr sana ,sasa waangalie na wasanii wachanga .

    ReplyDelete
  4. Daimond kasota mda mrefu mdogo wangu ni sawa kula raa sasa umeteseka sana nimeamua kukuambia ivi kwa maana mm nasota naangaikia pesa nitengeneze muvi yangu ya kwanza milioni 7 zinanitoa jasho kwaiyo kama msanii muigizaji nilie pitia chuo cha sanaa nakomaa ili ndoto itimie, naamin nasota ila cku ntakula shavu kwaiyo mdogo wangu kula raaa nami nasota naelekea kukata tamaa ila napiganaaa .

    ReplyDelete
  5. Hongera!,dogo umefanya jambo jema.

    ReplyDelete
  6. huyu mzee anahitaji matunzo na matibabu hivyo gari ya bin jamaa??

    ReplyDelete
    Replies
    1. afadhali ya yeye aliyemsaidia usafiri kuliko serikali kupitia wizara inayohusuka na utamaduni walivyokosa fadhila kwa kumtelekeza mzee wa watu

      Delete
  7. amefanya zaidi ya vizuri hongera sana platinumz.

    ReplyDelete
  8. Atabarikiwa,sana.

    ReplyDelete
  9. Mungu ambariki wakwetu. Nakushauri tulia na mwanamke mmoja. Oa ikiwezekana.

    ReplyDelete
  10. big up dogo mungu akubariki

    ReplyDelete
  11. Hili jinga hovyo kabisa kujionyesha tu na wakati watu wameshaanza kutilia mashaka pesa zake zikiusishwa na unga ndo kwanza linazidi kujinunga mbele ya halaiki na sifa za kijinga. Kwani ungempa huyo mzee gari kimya kimya ungekufa??! Dawa yako inachemka jikoni utarudi mbagala majalalani nyumba na magari vitafilisiwa na jela juu kenge we. AND YOUR WORST NIGHTMARE OF GOING BACK TO POVERTY WHERE YOU BELONG WILL COME BACK TO HAUNT YOU SUCKER!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Acha chuki kupanda na kushuka ni kawaida kwa binadamu yeyote mwacheni Diamond aishi maisha yake.

      Delete
    2. Povu linakutoka mok masikioni wivi tu wewe!! Izo laana zitakurudia ndo maana hufanikiwi

      Delete
  12. Mfano wa kuigwa na wengine

    ReplyDelete
  13. Ungeenda vjijini ukawachimbia visima vya maji ingependeza ttzo ww unapenda misifa kujionyesha kwani ww hauwezi kumpa m2 k2 kimykimya mpaka uutangazie umma pumbav.

    ReplyDelete
  14. acheni wivu.......hee!

    ReplyDelete
  15. Wacha mawivu yko mdau alopew kapew cunajua km wa mbli havai moko swala la kufulia even himself anajua kuna cku atashuka kwn hata kwnye baadh ya intervw zake ameongelea dat isue xo km vp Uclale mlango waz ukazan kw baht ya mwenzio vle vle faham ye n mfanya biashar na swala la unga co la kukataa co la kukubal ye m2 maruf xo shaka razma just.... WACHA MAWIVU YAKO

    ReplyDelete

Top Post Ad