DUDU BAYA "STRESS ZA GAME ZINATUFANYA TUNYWE POMBE, TUVUTE BANGI NA MADAWA YA KULEVYA"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

“Mimi sina stress na game, kwanza mimi nina jina kubwa sana nina makampuni ya mbao Mambas Timber, huko mwanza, Mambas Entertainment na hii Mambas Pub nasonga mbele na maisha. Kwahiyo ningekuwa na stress ningekuwa kama hawa wasanii wenye stress ambao wanakunywa pombe, bangi na mwishowe wanakula madawa, unatakiwa uongee na Mungu akupe matumaini,” ameiambia Bongo5.

Amesema pia kuwa yeye ni professional kwenye uchoraji ramani za majengo na fundi.

“Nimejenga majumba mengi kwhaiyo nafanya mengi naweza kuwaajili baadhi ya wasanii ambao wamechoka na maisha.”
Source:Bongo5.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Utamuajili nani chizi we

    ReplyDelete
  2. dah kumbe ndo mishe unayo pga sa iv..waajiri kuliko kwenda kudakwa na madawa nchi za wenza2

    ReplyDelete
  3. Hongera mwaya

    ReplyDelete

Top Post Ad