ETI KISASI KIPI NI KIZURI KWA MSALITI WA MAPENZI?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Jamani mwenzangu ananisaliti , nimelia usiku kucha baada ya kugundua kazaa na rafiki yangu na pia jana kafumaniwa akiwa anazini na mke wa rafiki yake.
Jamani nataka nimpe maumivu pia, maana anajidai ana moyo wa chuma na haheshimu hisia za wenzake.
Ananifanyia vituko vya ajabu na tumbo langu la miezi nane.
Nina uchungu sana na sina njia nyingine ya kuondoa dukuduku langu zaidi ya kisasi kitakatifu
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

14 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kunya kitandani

    ReplyDelete
  2. Kisasi hakisaidii dada yangu, muombe sana mungu kwan yy ndo suluhisho la tatizo lako hivyo atakuonesha njia.

    ReplyDelete
  3. Muombe Mungu akujalie,ujifungue salama,then usali sana,Mungu akuletee mume mwema,atakayekutreat like a really queen na mwenye penzi la dhati,hiyo ndio itakuwa fimbo yake,pole!

    ReplyDelete
  4. Success.ukipendeza na ukiwa independent mwanaume atasumbuka na Penzi litaongezeka .ukianza tegemeo Utakoma

    ReplyDelete
  5. mnyie mavi 2 kichwani pindi atakapo lala

    ReplyDelete
  6. Tatizo lenu nyie dada zetu hua mjua kupenda tu,bila kuangali kama uliempenda kakupenda kiac gan,utakuta hapo umewakataa wanao kupenda kwa dhat ukamng'ang'ania huyo mpuuz,,sasa hayo ndo matokeo yeke,jifunzen kuwapenda wanao wapenda

    ReplyDelete
  7. Jali yako dada maana kisasi huwa kina hasala wala akina faida panga mipango yako upya kwani wanaume wengi?

    ReplyDelete
  8. Out of topic. Mume wangu hana hamu ya kufanya mapenzi na mm kabisa .anaweza akakaa miez 2 mpaka 3 hajanigusa nikimuuliza anasema kachoka job.au akifanya kama analazimishwa ha yuko welling tena kimoja na harudii. Mwanzo haikuwa hivi.hali hii imejitokeza baada ya kuzaa mapacha.nahis kama uke wangu umetanuka sana.siko tight kama mwanzo.labda ndo maana Hana hamu ainjoi tena .nimejarib kumchunguza kama ana mwanamke mwingine sija gundua.naomben ushaur wenu kama kuna dawa ya kufanya ili uke wangu uwe tight? Pls nisaidien

    ReplyDelete
    Replies
    1. we unajuaje kama tatizo ni uke wako! ushawahi kujikagua? itakuwa mmeo anapiga puri uyo so hamu hana

      Delete
  9. Dada uchangaike,wanaume wengi hukosa ham na wake zao mara baada ya kujifungua,hi hal hudum kwa mda tu na baada ya hapo huisha yenyewe

    ReplyDelete
  10. KAZAE NA BABA YAKE MZAZI AU KAKA AU MDOGO WAKE TUMBO MOJA.

    ReplyDelete
  11. KAZAE NA BABA YAKE MZAZI AU KAKA AU MDOGO WAKE TUMBO MOJA.

    ReplyDelete
  12. Biblia inasema kisasi ni mungu atalipa. Huna kazi kwani? Kuwa bize na kaz zaki pind ukijifungua na usimtafute wala usipige cm uone. Asipokutafuta ujue hakuna mapenz hapo. Lea mwanao utampata wa ukwel hata akiwa maskini. Na ww dada mwenye kukosa unyumba usijal labda ni kwel anachoka. Au nguvu za kiume zimeisha. Hebu mchunguze

    ReplyDelete
  13. njoo kwangu nipige halafu nitanganze ili ajue kuwa na wewe untafutwa na wakwere

    ReplyDelete

Top Post Ad