FRANCIS CHEKA AMTWANGA MMAREKANI NA KUCHUKUA UBIGWA WA DUNIA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Bondia Francis Cheka wa Tanzania (kulia) akimuadhibu mpinzani wake Mmarekani, Phill Williams, wakaati wa pambano lao la raundi 12 la kuwania Ubingwa wa Dunia uzito wa Super Middle (WBF) lililofanyika kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee usiku huu. Katika pambano hilo Bondi Mtanzania Francis Cheka ameweza kumgalagaza kwa Pointi mpinzani wake na kutwaa ubingwa huo.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. cheka mchawi huyoo anatumia ndumba sana ukipanda naye ulingoni tuu unakuwa umuoni au unaona ngumi kama mia zinakuja ujui upanchue ipi....adi kwa mganga wake napajua akibisha namtaja

    ReplyDelete
  2. hahahaha,uwiiii mdau umenichekeshajeee lol..Cheka mbayaaaa hatare...

    ReplyDelete
  3. NGUMI NI MINGONI MWA MICHEZO TUNAYOFANYA VIZURI TANZANIA,WAMESHAKUJA WAKENYA,WAGANDA, WAZAMBIA NK LAKINI WANAAMBULIA KICHAPO TOKA KWA MABONDIA WETU. LAKINI ZIMESHAKUJA TIMU ZA MPIRA TUNAAMBULIA KUFUNGWA NA NDIO BADO WAWEKEZAJI WAMENGANGANIA HUKO. WANGEJARIBU KUANGALIA NA MICHEZO INAYOFANYA VIZURI KUIWEZESHA ZAIDI ILI TAIFA LETU NALO LITISHE KATIKA SEKTA FULANI

    ReplyDelete
  4. hongera cheka kwa kwa kuiwakilisha vizur tanzania.

    ReplyDelete
  5. Nenda na wewe kwa huyo mganga uchukue ubingwa wa dunia

    ReplyDelete
  6. Mazoezi makali na proffesionalism ndio tofauti ya cheka na hao wakina maugo,mashali # co.Jana watnzania wameona tofauti ya pumba na mchele,mafuta na maji.

    ReplyDelete
  7. Amin kwamba ngumi hazina mganga bali unafanyaje zoezi.martin m2ya RUAHA KILOMBERO

    ReplyDelete
  8. Jaman ww mdau uliyesema cheka anatumia dawa nadhan alishawah kukupiga,kwann isifikie wakat sisi wenyewe tukawa wazalendo wa wanamichezo wetu? Na watu weng walikuwa wanasema cheka lazima apigwe tu hana lolote haya sasa kashinda sura zimewashuka had miguun achen hzo jivunieni na vya kwenu....ww uliyesema anatumia dawa anza kutumia ww ili uje kuwa bingwa siku moja tena sio wa ngum hata mpira tu.roho mbaya haijeng fala ww kama huna cha kuongea njoo kwetu uwe wifi yangu.mfyuuuuuuu

    ReplyDelete
  9. Tunachoangalia ss ni kupiga wala sio uchawi, na kama uchawi ndo kila kitu chukua ww uwe na nguvu

    ReplyDelete

Top Post Ad