HAWA NDO WATOTO WA BILIONEA ALIYE UWAWA ARUSHA WAKIWA TAYARI KUSIKILIZA KESI DHIDI YA MAUAJI YA BABA YAO

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Watoto wa marehemu Erasto Msuya wakiwa na shangazi zao Esta Msuya (kushoto) na Antuja Msuya (kulia) kwenye Mahakama ya Moshi Mkoani Kilimanjarao jana ambapo walishuhuduia watuhumiwa wa mauaji ya baba yao wakisomewa mashtaka mbele ya Hakimu mkazi Munga Sabuni na 
Mwendesha mashtaka Stella Majaliwa aliwataja washitakiwa hao kuwa ni Shariff Mohamed Athumani (31) Shwaibu Jumanne Said (38) na Musa Mangu (30).picha na mdau  Joseph Lyimo
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. maskin inauma sana kwakweli mmewakatili sana watoto hawa mbwa nyie na mnyongwe hadi kufa

    ReplyDelete
  2. Msihukumu mtahukumiwa. Labda wangeeleza kisa cha kuua tungecomment vizuri!

    ReplyDelete

Top Post Ad