HAYA SASA DIAMOND KAFANYA TENA MAMBO MOMBASA AWAACHA BADO NA KIU

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ni jambo jema kumshukuru Mungu kwa kumaliza mfungo
huu wa Ramadhani pia kutuweka salama hadi leo...
Sikukuu yangu nimeilia nchi Kenya lakini nilikuwa na
kibarua kukonga nyoyo za maelfu ya mashabiki zangu
jijini Nairobi.Kwangu hii ilikuwa mara ya pili kufanya show
 kenya,lakini ni mara ya kwanza kabisa
kufanya show jijini Nairobi,kutokana na kiu ya mashabiki
 zangu nchini humo nikaona zawadi ya Eid hii
iwadondoke wao.....It was crayzz yanii niliposhuudia umati wa
 watu wakiimba nyimbo sambamba na mimi,na kufurika hadi getini
kiukweli nilifurahi sana kwa hali iliyokuwa usiku wa jana.....
Nikiwa na team yangu nzima ya wasafi,stejini na
silaha zangu 4 hatari kwenye Mashine alikuwepo
Dj Rommy Jones kama kawaida stage manager
Qboy msafii alikuwepo kuhakikisha usalama upo saawia kabisa.....!!

UNAWEZA CHEKI PICHA KADHAA ZA TUKIO ZIMA
 LA SHOW NCHINI KENYA
KWENYE SIKUKUU YA EID...
..
Backstage nikisubiria go ahead nikafanye maujanja yangu kwa steji...
Ajajajaja....hapo sasa,ndo vile twafanyaga kwa jukwaaaa.....

Qboy Msafii & Dj Rommy Jones...

Ebhana eeeh watu bado wanataka niendeleee.....mpera mpera
 tu,afe kipa afe beki lakini ushindi lazima


Siwasiki watu wangu wa Nairobi.....nimekuja kuwabamba ile mbaya....
Tumeelewana watu wangu wa kweli........Mi naona kama muda umeisha vile....
Si ndo mashetani ya kigoma yakapanda ni kuanza kuwapelekea
kama Bongo tu...
Duuh Ebhana eeeeehhh.....NIMEMALIZA......
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Huyo anayejiita PREZOO ametaga kabisa,kapigiwa kwao.

    ReplyDelete
  2. Mbona hakuna conekshen kat ya kicha cha habar na habar kamil? Show ilifanyika nairobi ama mombasa?

    ReplyDelete
  3. KWELI HIKI NI KI CHAAA CHA HABARI SIO KICHWA CHA HABARI.

    ReplyDelete
  4. keep it up Dimond..mimi bnafsi nakupenda sana kwani unapiga nyimbo zako vizuri sana.. mwenyezi mungu akuzidishie more..na kitu kikubwa unachonifurahisha kumueka mzazi wako mbele kuliko kitu chochote
    respect.

    ReplyDelete
  5. Hi, I find reading this article a joy. It is extremely helpful and interesting and very much looking forward to reading more of your work.. KIU

    ReplyDelete

Top Post Ad