HEMEDY "NIMEKOMA SIVAI TENA HERENI MASIKIONI"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kutokana na kusikikia malalamiko mengi kutoka kwa mashabiki, Hemedy ameamua kuwa mpole na kufuata kile watakacho.

“Kumekuwa na fight kubwa sana kati ya mimi na director wangu pale ninapokuwa na scene za ofisini nakuwa mbishi sana swala kuvaa hereni sasa nimepata ushauri kutoka kwa mashabiki wangu nimeona nikamshauri director wangu kuepuka kero ambazo hawazipendi mashabiki wangu. Nitakuwa mjinga nisipo wasikiliza mashabiki wangu,” PHD aliiambia Enewz ya EATV.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mashabiki wapi??? Hivi kwanza huyu mtu yupo dunia hii? Anafanya nn chakumpa mashabiki alivyo nadam ya kunguni!

    ReplyDelete
  2. Wewe unafanya nn?!huna eee ndio maana wadhani kila mtu yuko kama wewe mburula

    ReplyDelete
    Replies
    1. We basha wake nn?!?! Mbona umepanik? Tuondolee stres zako hapa kupost comnts mara mbili mbili....

      Delete
  3. Wewe unafanya nn?!huna eee ndio maana wadhani kila mtu yuko kama wewe mburula

    ReplyDelete
  4. mbna shanga husemi kma umeacha...!

    ReplyDelete
  5. Pumbavu,choko weee

    ReplyDelete

Top Post Ad