HIVI NDIVYO WEMA ALIVYOSHEREHEKEA SIKUKUU YA EID

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Sikukuu kila mtu huwa anapenda kuisherekea kitofauti zaidi. Hivi ndivyo muigizaji Wema Sepetu aliamua kuisherekea kwa upande wake, alitumia muda wake wa sikukuu ya Eid kukaa pamoja na wazazi wake wote wawili na kusherekea pamoja nyumbani kwao ikiwa ni pamoja kupiga nao story nyingi. Picha kama hii haijawahi kutoka ikimuonyesha Wema akiwa na wazazi wake wote wawili. Mara nyingi anakuwaga na mama yake na mara moja alionekana kuwa na baba yake.
mdada

Use Facebook to Comment on this Post

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  2. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  3. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  4. Voyance gratuite web 17 mars signe astrologique

    my blog post; voyance gratuite en ligne

    ReplyDelete

Top Post Ad