HUU NDIO MWONEKANO WA HEMEDY BAADA YA KUPATA AJALI,ANA BANDAGE USONI LAKINI HERENI BADO HAJATOA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Muigizaji Hemedy Suleiman ambaye pia ni mwanamuziki wa Bongofleva amefunguka kuwa anaendelea vizuri baada ya kupata ajali mbaya ya gari na gari hilo kudaiwa kuharibika. Hemedy alikuwa akimsindikiza Gerry Wa Rhymes ambaye pia ni msanii
maarufu nyumbani kwake Sinza na kupata ajali baada ya kugonga kalivati. Kupitia mtandao mmoja wa kijamii Hemedy ameandika "Namshukuru mungu naendelea vizuri baada ya kupata ajali mbaya iliyonikuta..ahsanteni kwa dua zenu, kifua tu ndiyo kimeumia na mkono"
Get well soon Hemedy


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

14 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. bandeji latisha jaman kwann kapiga nalo picha anyway get well soon

    ReplyDelete
  2. VUA HATA HAYO MAHERENI...UKO KATIKA HALI YA KUMKUMBUKA MUNGU SANA AKUPONYESHE

    ReplyDelete
  3. hereni hizo ndizo zinazomchanganya barabarani mpk anapata ajali angezivua tuu yote yasingemkuta

    ReplyDelete
  4. Badilika mtoto wa kiume kwani huo Usharobaro wako Umevuka mipaka hadi Hospital unavaa HERENI..kusudi Iweje..??????

    ReplyDelete
  5. Ovyooooooo ungevunjika na miguu ndo tungeona kama ungevaa heleni wewe.

    ReplyDelete
  6. Yaan ni bora angekatika hayo mackio tuone hizo heren angezivaa matakon au

    ReplyDelete
  7. Yaan ni bora angekatika hayo mackio tuone hizo heren angezivaa matakon au

    ReplyDelete
  8. Yaan ni bora angekatika hayo mackio tuone hizo heren angezivaa matakon au

    ReplyDelete
  9. shame on him mwanaume mzm tena mtt wakiislam na mahereni maskion je ungekufa ungeenda mjibu nn mungu wako na hayo mahereni jmn wa tz wanamambo yakuiga saaaana hiko ndo kinachotu cost kwanii huwezi pendeza au huwezi julikana msanii bila kuvaa hereni ? such a big shame na hilo jina lako uliopewa hemed!.....

    ReplyDelete
  10. NAMPENDA HEMED...ILA MAHERENI KIUKWELI NAKUFANANISHA NA SHETANI JIKE!!

    ReplyDelete
  11. nackia huyu jamaa n punga

    ReplyDelete
  12. yan angekua mwanangu ningebalishana na pumba niwape bata wangu!

    ReplyDelete
  13. Kwani yy ndo wa kwanza kuvaa hereni? Wangapi wanavaa tena watoto wenu majumbani umbea tu unawasumbua

    ReplyDelete
  14. Huyu mtoto si riziki yaani anapumuliwa kisogoni yaani ni shoga yaani anaingiliwa kinyume na maumbile yaani anafirwa na wanaume wenzie ,duuuuuuuu badilika dogo

    ReplyDelete

Top Post Ad