HUYU BINTI WA MJOMBA ANANITAKA KIMAPENZI-HELP

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Leo nimetupia topic hii kwenu kutaka msaada wa kimawazo juu ya huyu binti wa mjomba wangu!
Tangia nije kwa mjomba amekuwa akinitaka kimapenzi eti anadai kisa mi mkarimu sana kwake na kudai amependezwa na tabia zangu na kusababisha kuamsha hisia za kimapenzi kwangu " for sure ananipenda sana even ananililia juu ya hili"
Cha ajabu ni kuwa nimetumia mbinu zote kumweleza juu ya undugu wetu na yeye kudai si mtoto wa mjomba na anamfahamu baba yake original na yuko serious juu ya hilo na mama yake anaelewa hilo ila baba yake hajui!!
wana Mapenzi naombeni ushauri juu ya hili nifanye nini?
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mbona iwe hivyo! Kumbuka kulia kwake si ishara kuwa anakupenda ila ni njia ya kukuwini ili mlibandua tunda maganda alafu ungoje matokea.

    ReplyDelete
  2. Shauri lako akili si unazo

    ReplyDelete
  3. Mbona m2mwenyewe havutii!

    ReplyDelete

Top Post Ad