google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html JACKIE CLIFF ADAI ETI ALIKURUPUKA KUOLEWA | UDAKU SPECIAL

JACKIE CLIFF ADAI ETI ALIKURUPUKA KUOLEWA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

MWANAMITINDO marufu Bongo, Jacqueline Patrick ‘Jack’ amesema alikurupuka kuolewa na aliyekuwa mume wake, Abdulatif Fundikira ‘Tiff’ kwa kuwa hakufanya tathmini ya kina kabla ya kufanya maamuzi.

Akizungumza na mwandishi wetu, Jack alisema laiti angekaa kwenye uchumba kwa angalau muda wa miaka miwili kuchunguzana kabla ya kuoana mwaka 2011, asingeweza kufikia hatua ya ndoa kwani wangeshindwana tabia mapema.
 
“Nilikosea, nikakurupuka kuolewa mapema bila kumchunguza tabia mpenzi wangu, uhusiano wetu ulidumu miezi mitano tu kisha tukafunga ndoa, lakini matokeo yake tabia hazikuendana na ndoa ikakosa uhai ndani ya muda mfupi,” alisema Jack
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wewe hukukurupuka sema huna maadili mema na hykufundwa kwenu ,na tamaa ya maisha mazur ndio ilikypeleka puta ,pia ujana bado unakusumbua

    ReplyDelete
  2. Wewe tunakufahamu mji mzima hakuna mwanaume anaeweza kukuoa wewe huyo kijana aliekuwa mumeo ndio alikurupuka kubeba tatizo lililoshindikana mjini na si wewe, hufai upo kimasilahi zaidi na hujawahi kaa na mwanaume muda mrefu una mkosi wanaishia matatizoni.Em jiulize nani anaekujua na mwenye akili timamu atakuoa wewe????

    ReplyDelete
  3. Ww malaya sasa tangu lini malaya akakaa na mume?chezea ndoa ww!

    ReplyDelete
  4. Mjalaana mjaa mikosi wewe.

    ReplyDelete
  5. ushajfunza.kua makn nxt tym

    ReplyDelete
  6. Si yuko na jux anambemenda mtoto mdogo hana hata haya wakati rika lake kina mange

    ReplyDelete
  7. Haters mxiuuuuu!!!!!she is still young let her live her life!! Ndoa za kibongo usenge tu!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad