JE NI KWELI WALIO ISHI NJE YA NCHI (WABEBA MABOKSI) WAKIRUDI BONGO HUFANIKIWA SANA KIMAISHA?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

For a longtime, nimekuwa najaribu kutafuta shortcut and a figure out a way ya kutoka kimaisha! Sio kutoka hela ya mboga, kutoka kutoka kweli! Sasa nimejikuta nastudy sana watu na circumstances. Nimetokea ku review sanaa watu waliotoka (Ukijua mwenzio ametoka vipi you are half way) walipitia njia zipi? What was there turning point? Na vitu kama hivo. 

Katika study yangu nimegundua watu wengi WALIO MAKE THINGS HAPPEN WANA UHUSIANO WA MOJA KWA MOJA NA BOX (Wengine hawakurudi na vyeti so tuna assume hivi) ZA UNYAMWEZINI AMA SHULE YA MBELE HUKO AU HATA KUBANA TU KWA NDUGU ZAO UGHAIBUNI KWA MDA FLANI!

Sio siri wakirudi baadhi yao wanakuwa Exposed kwenye mambo mengi sanaa, Ability yao ya kupata logic kwenye vitu inakuwa juu! Na problem solving capacity yao inakuwa ASTONISHING! Yaani mtu anafanya vitu hadi unabakia . Kikubwa wanakuwa na UTHUBUTU WA HALI YA JUU SANAA!!!!!! Wanashika pesa wadogo sanaaa! Hata mkiajiriwa nae huwezi ku compete nae kwenye creativty

Wachache maarufu ambao wanatengeneza mpunga mrefu mnooo ambao hata uajiriwe wapi huipatai maisha yako (with the exception of UN, IMF and WORLD BANK) ni

1. Joseph Kusaga, aliishigi U.S, L.A alivorudi ndo clouds wakaisuka! Saivi wako na bizz nyingi sanaa. Primetime tu akimdondosha mwanamziki mmoja PESA YAKE NI NDEFUUU hata asipofanya kazi mwaka mzima!
2. Ruge Mutahaba, nae clouds.
3. Emelda Mwamanga aliishi hapo Bondeni, S.A, Bang na dare to dream ni nomaaa.
4. Kelvin Twisa, poteza mbaya 1st class za UDSM na Mzumbe
6. Amina Marcel Plumer, Amina designs
5.Frank Gonga (Ile hela anayopata ya white party japo ni once/yr ni ndefuuu afu haina jasho)
6.Rita Paulsen, event moja ya BSS hafanyi kazi mwaka mzima, jinsi inavomlipa!
7. Wema Sepetu aliishi U.S (Reality show yake za chini ya kapeti zinasema kalamba mkwanja nomaaa toka kwa kampuni flani hivi.)
8.Ongezea wewe

Hapa nimetaja wale wa KAWAIDA HAWANA MIJICHETI YA KUTISHA YA PHD ila wana make a difference kwenye sekta walizopo na wameweza kujibrand. Wame make things happen big time kwa ujanja ujanja tu wa mjini.

I aint saying vya nyumbani ni vibaya ama havina viwango noooooooo! But hawa wenzetu wamethubutu na wameweza na wamejitajirisha si kidogo ilihali sisi wa hapa hapa tunawaangalia! Nyumbani bana unaweza kuta mtu ana PHD analipwa 3m karizikaaaa beyond kurizikaaa! Ila hawa wababa box somehow naowajua mimi THEY ALWAYS LOOK AT THE BIGGER PICTURE!!!!!!! Na hawariziki ng'oooooooo kama Joe! @ team Anaconda!!! But its good to be a CAPITALIST at imperial times like these.

Huo ni mtazamo wangu juu ya mambo mjini hapa! Sijui nyie mwaonaje!

Source:Jamii forums
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ni kweli kwa sababu Kasheshe na stress na maisha ya USA yanakuweka tayari kurisk.Hii ni nchi ya kwanza duniani kwa uchumi 24 hours of working .Unatoka socialist country Unakuja capitalist .You have to pay your bills ,follow the rules .Hapa ukifanya mchezo tuuu Lazima uwe homeless .Bills chezea

    ReplyDelete
  2. weeeweee! tena usijaribu kuwachezea WABONGO WAPIGANAJI WA UKWELI wanao hangaika NDANI na NJE ya BONGO. kwanza hao uliowataja wameletwa na BABA ZAO ambao wamekula NCHI na wanaendelea KUNYONYA watu wasio kuwa na uwezo wa kutoka nje,pili wanazuia NAFASI za wasio na uwezo kuja nje,tatu hao wote sisi tunajua HAWAKUISHI KUFANYA KAZI YA JASHO bali walileta UNGA kupitia WAZEE WAO WAKUBWA SERIKALINI na ndio maana hawakuweza KU SURVIVE maisha ya nje .walibaki kukaa kwa watu wanao fanya kazi na wao KUBANDULIWA TU sababu hawakuzoea kufanya KAZI. kwa hiyo tunakuomba tutajie majina ya WAPIGANAJI WA UKWELI ambao BABA ZAO hawa kuwa MAWAZIRI wala WAKURUGENZI huko bongo ndio at least tutakuelewa. WARNING wewe una pata KULA na UMAARUFU kupitia WABONGO wasio na UPEO wa NINI kinachoendelea TANZANIA na NJE,kwa hiyo USICHOKOZE WATU WALIO KWENYE DUNIA YA KWANZA!!!!!!!!.endelea na KIJIBLOG CHAKO LOCAL CHA KIBONGO NA UWADANGANYE HAO HAO,you are not in INTERNATIONAL LEVEL!!!!!!!!!!!!!!!!!.tuna kujua na tuna kuheshimu sababu tunajua unapata kula kwa posting zako,sasa usije UKAINGILIA WATU ABOVE YOUR LEVEL.wewe post UONGO ambao unaendana na MAZINGIRA YAKO YA KULA. usiingie BEEF na WASAFIRI.sababu msafiri ni katili. BIG UP wasafiri in KWA ZULU NATAL,JO BURG,ITALY,UTURUKI,BARCELONA,SYRIA,HOLLAND,SWEDEN,DENMARK,INDIA nA KWENGINEKO.achaneni nae huyu na MABWANA ZAKE WA WATOTO WA WAKUBWA WANAO UZA UNGA SIO.mnywamwezi SAFARINI from THE GUTTER.....

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wewe ni muongo Mimi hapa wazazi wangu wote vigogo haswaa ila nilipofika USA nilikuwa naongoza kwa kupiga schedule .Nilikuwa nafanya kazi shift mbili .9am to 5pm Nikitoka hapo naingia evening classes 6 to 9pm .11pm to 7am shift ya usiku kazi ya pili .nilikuwa na lalla only 2 hours na Sunday's tu .Na hapo wazazi walikuwa wananipa msaada nikihitaji .Niliweza kujenga Jumba langu white sands ( na hicho kiwanja cha white sands nilinunuliwa na wazazi wangu 1981 long time ago mwanangu pork Tupu lilikuwa pale .Na Watu wakiiona nyumba wanasema mzee aliiba Pesa wala .Na kunawakati ilibidi mdingi aonyeshe Mali Zake wakamuuliza kuhusu mjengo wangu wakasema wanataka risiti .Nilienda western union na wali print papers nilikuwa Natuma dollar 2500 kila Mwezi for 10 years .

      Delete
  3. Ongelea maisha ya bongo usiguse anga ambazo utaaibika ,pamoja na kazi nzuri unayo fanya ,ya kufurahisha wasiojua ukweli ,tumia muda wako kufundisha vijana waachane na unga,na madawa mengine na madhara yake ,kutoka Canada na Usa mdau

    ReplyDelete
  4. Mwambien huyo awadanganye wajnga wenzie hata mbongo mwenye akili timamu hawez kukubaliana na upupu anaouandika alafu etu ana mastaz mxuuuuuuuuuuuuuu.mjinga sana kutwa kujisifia alienda kugraduate mimba kaja na mistress yake ya kuzaa na mwalmu wake ivi we dada darasa zma halikuwa na vijana wenzio? Au walishakuona umezeeka toka huko ukaamua kumtafuta mzee mwenzio utazeeka huna hata wa kukukuna mgongon kwa mitabia yako mshenzi wee

    ReplyDelete
  5. Frank Gonga yeye kazaa na Wanawake 3 tofauti wote sasa hivi wamekabidhiwa watoto .mange kimambi nae wake kakabithiwa.Frank analelewa na Wanawake .Huyo mange mwenyewe Mpaka Leo anafunua chupi yake kwa Frank Gonga yupo kwa mzungu ki maslahi tu .Hivi frank Gonga anakuja bongo august na mange early sept .Mange keshasema hampendi mumewe ila akijiweza kimaisha anasepa

    ReplyDelete
  6. Mange Pia anamfuata x boyfriend wa WA wa Stella TILLYA the rich men .

    ReplyDelete
  7. Hii post kaandika mange

    ReplyDelete

Top Post Ad