JOYCE KIRIA "NIMEAMUA KUMJOIN MUME WANGU KWENYE SIASA BAADA YA KUACHIWA HURU"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Joyce akiwa amevaa gwanda za Chadema

"Mlionishauri kwamba Mume wangu Henry akitoka nimshauri aache siasa, naomba niwaambie kwamba nimem join Mume wangu kwenye Siasa. pipooooooooooz" Says Joyce Kiria
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

12 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. POOOOOWEEEEEER

    ReplyDelete
  2. Good, Good decision... God Bless you and your beloved husband. Viva chadema.

    ReplyDelete
  3. Kweli we mpini!!! Nimekukubali hongera sana.
    Kweli jamaaa alilengaaaa!!
    Pooooooooweeeee 4life

    ReplyDelete
  4. Umefanya uamzi mzur sana mamy joy u hv a talent bt kwnn hutak kuongeza elimu mpz hv unadhan iyo ya kijuu inatosha? Nakusaport peopleeeee's

    ReplyDelete
  5. huna lolote wewe siasa itakupeleka kuzimu chadema yenyewe majanga matupu wanaua watu halafu mnajidai pipo pawa hakunaga

    ReplyDelete
  6. na utulie sasa and act like a lady sio utuleteee uswaz wa tandale utanywewaa

    ReplyDelete
  7. Sasa sisi inatuhusu nini Hayo ni ya kwako na mumeo

    ReplyDelete
  8. chapa kazi mwaya achana na magamba joy najua watakubeza sana ila ucjali kamua

    ReplyDelete
  9. Magamba povu kama mmekunywa juice y omo

    ReplyDelete
  10. Good decision

    ReplyDelete

Top Post Ad