KIJANA ATIWA MBARONI KWA KUFANYA MAPENZI NA NG'OMBE HUKO KILIMANJARO..... ANADAI KILA AKITONGOZA HUKATALIWA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

JESHI la polisi mkoani Kilimanjaro linamshikilia kijana mwenye umri wa miaka 15 mwanafunzi wa kidato cha pili katika shule ya sekondari Kelamfua iliyopo wilayani Rombo baada ya kukutwa akimwingilia ndama wa ng’ombe.


Akithibitisha, Kamanda wa Polisi wa mkoa wa Kilimanjaro, Robert Boaz alisema tukio hilo lilitokea Agosti 3 mwaka huu saa 5:10 usiku nyumbani kwao Kelamfua.

Boaz alisema kuwa baba wa kijana huyo ndiyo aliyemfumania kwa kuwa alikuwa akimfuatilia kwa muda mrefu na ndipo alipomkamata.
  
Alisema kuwa kabla ya tukio hilo kijana huyo aliwahi kukutwa akifanya mapenzi na kuku na kuanzia hapo mzazi wake huyo akaanza kumfuatilia na hivyo kumkamata akifanya mapenzi na ng’ombe ambaye ni ndama.
  
Kamanda alisema kuwa baada ya kukamatwa kijana huyo alifikishwa kituo cha polisi na kuhojiwa ambapo alikiri kufanya kitendo hicho na kueleza kuwa amekuwa akitafuta wasichana bila mafanikio.


Aidha aliongeza kuwa kila msichana anayemtakia neno la mapenzi amekuwa akitaka fedha nyingi wakati yeye ni mwanafunzi hana uwezo wa kupata fedha.
  
Boaz alisema kuwa baba wa kijana huyo alishapata taarifa siku za nyuma kuhusiana na tabia ya kijana wake huyo na ndipo akaanza kumfuatilia na kwa sasa anashikiliwa na polisi uchunguzi zaidi ukiendelea
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Huyoa Baba yake fala,badala ya kukaa chini aongee na kijana wake anampeleka polisi hajui aibu yake kama mzazi....msscheew!

    ReplyDelete
  2. Baba hana maana maadil hayafundish Polisi

    ReplyDelete
  3. Mzee kachemka kunamambo ya polisi ila kwa hili hakufikiria kabisa nisawa kajishitaki mwenyewe

    ReplyDelete
  4. Uchunguzi gani tena wakati mtoto ameshakiri kala vitu!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad