KUMPIGA PICHA ZA UCHI MCHUMBA WAKO NI SAHIHI?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wadau poleni na kazi za leo,ok
Kuna kitu huwa najiuliza sipati majibu ya kuridhisha,Hivi kama una mchumba unaetarajia kumuoa/kuoana unaweza kumpiga picha za uchi?au video za uchi? Mdada kama Mchumba wako anakupiga picha za uchi unajisikiaje ?
Nani sasaivi ameoa/ameolewa na alimpiga mke wake picha za uchi enzi ya uchumba?
Karibu tujadili......


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hakuna anayekubali kumdhalilisha m2 anayempenda wala kudhalilishwa ili kuonyesha mapenz ya dhati niulimbuken ndio unaowaponza mwisho ni majuto

    ReplyDelete
  2. Wengine wanawapiga kuwakomesha

    ReplyDelete
  3. Si wenyewe na mipango yao!!!

    ReplyDelete
  4. Kwanza siwezi kukubali kupigwa picha uchi hata Kama nakupendeje na ukinipiga kwa Siri nikigundua you are dead I WILL POISON YOU WITH MY FAVOURATE POISON WHICH DON'T KILL YOU RIGHT AWAY BUT WILL SURELY GIVE YOU A PAINFUL DEATH WHILE I ENJOY WATCH YOU DYING SLOWLY WITH ORGAN FAILURE AND I WILL BE SMILING AT YOU EVERYDAY WHILE I WATCH YOU DYING so don't give me a reason to kill you if you are my boyfriend you don't humiliate me and go scot free you will have to pay so guys careful with what you do to your gf not all of can take such bullshit and we can turn from saint to a killer on a heart beat so watch out

    ReplyDelete
  5. sio fresh kumpga mpnz wako

    ReplyDelete
  6. Hiyo siyo poa.but wengi huingia ktk mahusiano kutokana na shida tu,ndo mana wakishawishiwa wanakubali,bila kujua kuwa waanajidhalilisha.. x

    ReplyDelete
  7. Si sahihi lakin madem ndo wanatakka

    ReplyDelete
    Replies
    1. Seriously dude, msichana gani atataka umpige picha za uchi? U r nt even making sense u knw.

      Delete
  8. Hata nikupendeje picha za uchi sikutumii!



    Magnifique

    ReplyDelete
  9. Nakubaliana na alie andika kwamba wengi wajihusisha kutokana na shida kwakuwa sioni sababu Kati ya wapenzi Kuwa na picha za uchi za mwenziwe kwani mnaweza mkakutana private at any time so what the use of sending to each other a naked phone?

    ReplyDelete

Top Post Ad