KUPIGWA AU KUMPIGA MPENZI WAKO NI NJIA YA KUMUONYESHA UNAMPENDA NA KUMJALI ZAIDI?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Nimeona watu wengi ambao wapo kwenye mahusiano wakitofautiana. Lakini cha kushangaza ni hiki cha kipigo hasa kwa wadada, wanapigwa na wapenzi wao. Nikakajiuliza kama mahusiano tu unapigwa hata wengne kulazwa je mkiwa kwenye ndoa itakuajeee..? Nisaidieni ni kwel ndo mapenzi au kuwaumiza wadada. Hata wanaume wapigwa lakini si kama wadada
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad