MADUDU YA UWANJA WA NDEGE JNIA YAZIDI KUJULIKANA-WATALII WALALAMIKA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

WAKUU! Hivi nchi hii mbona tunapenda kujidhalilisha hivi!

Nimekuwa nasikiliza watu wengi hasa watalii toka nchi za nje wakilalamikia tabia za baadhi ya wafanyakazi waliopo kwenye viwanja vyetu vya ndege. 
Licha ya kusikia toka kwa wengine, binafsi yalishanikuta kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro (KIA). Wafanyakazi wengi wamekaa kirushwa rushwa tu! 
Licha ya kwamba wengi wanafanya mambo kama vile akili zao hazipo vizuri vile nadhani hata elimu ya "hospitality" hawana kabisa. 

Nadhani haya ni mdhara ya wakubwa kupandikiza watu wao wasio na uelewa ili kupitisha "sembe" zao. 


Click HERE  kusoma jinsi mtalii huyu alivyofanyiwa na wafanyakazi wa airport.

Source:Jamii forums



-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ndio nchi yetu hiyo. Hata kuonyeshwa toilet rushwaaa

    ReplyDelete

Top Post Ad