MASHABIKI WAMSHUKIA DIAMOND BAADA YA KUPOST ONLINE PICHA YA DOLE LA KATI

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

“Is this the right finger that you are talkin about @roma2030 …?” ameandika kwenye picha ya Instagram aliyopiga na rapper Roma Mkatoliki

Hata hivyo picha hiyo imevuta hisia za mashabiki wenye hasira waliomwangushia mvua ya madongo kwenye Instagram ambapo ana followers zaidi ya 36,100 hadi sasa. Hizi ni baadhi ya comments:

Mafuruzenkonoki: Umekua sasa hivi kijana, hizo ishara haziendani na ulivyo! Change!

Lugnno: Umeimba wimbo ma mc mara matus mara bang umekuwa mc naona inshara ya tus kwenye kdole cmon usizd sana hta km upo mbal utakosea km wkt ule ulvua surual takecare man sijaipenda

luvcartel: Astaghafurullah… juzi ulikua muislam leo ushakua kafir? Subhannallah

ladisdallaz: The middle finger? To u nt to us

mmolezson: Diamond n Roma nyie wote wajinga tu, mtu yeyote mwenye akili timamu and rational awez point finger lik dat then anapoist kwenye social networks ili jamaa waone.

Alice_aswile: Aah hapana diamond,hivyo vitu hapa cio mahali pake loh,hivyo mfanyie demu wako gheto.

Makitoti: Ain’t ryt diamond ….just ain’t ryt, we love ur music Ila that pic!!!!naaaah,haifai

Mmolezson: Kwa hyo hcho kidole mnatuoneshea sis ee, hv unawakumbka wasanii hpa Tz ambao walikuwa maaruf kulko nyie? Je saiz wko wp ee na wala hawakuwa na tabia za limbuken kma ww free lancer. I hate u mother***

Trofmo: Very disappointin… Ww km Kioo cha jamii unataka tuelewe vip hii picha?! Plz dis z Tz not states! Our culture is decency & dignity!!! Behave..

Chocolatedesweetness: This is too much……..!!! Umeanza kulewa mafanikio eeenhe, ngozi nyeusi taaabu sana, U better apologise and delete this photo before its too late!U shauri tu
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ujue nn? Mm wala sishangai kwan kuna msemo usemao "limbuken akpata utamjua2" kwa limbuken wa kbongo ndo ucseme.

    ReplyDelete
  2. Meno yote nje kichwan bongo lala hamna kitu hapo.anoy mcpoteze muda wenu kumfunza mty mpumbavu

    ReplyDelete
  3. Na wewe roma bachelor yako ndo unaitumia kijinga hvyo nadhan kwenye iq mpo tofaut sana roma practice wat u hav on ua mind leave stupidity

    ReplyDelete
  4. Gaseemos kmb Gutiérrez jamás liga Julio,siguiente anajisikiaje ligaba Julio,dadas ir better toda. Nilikua nikimaanisha kwamba huyu jamaa anatuona kwamba atumsaidii chochote kwahiyo ataakitutusi nthng gona change but mimi naona ni bora aombe msamaa kama ataona alichokifanya ni kosa kwa watanzania na jamii inayomzunguka'

    ReplyDelete
  5. Hilo ndomo mweeeeee,Naskia broda chapati hakunji,samahani lakinii..!!

    ReplyDelete

Top Post Ad