MCHAWI AANGUKA AKIWA KWENYE HARAKATI ZA KULOGA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mchawi hivi karibuni kaleta kizaa zaa huko Dzivarasekwa  alipokutwa na 'birthday suit' yake(uchi)

 Sabina Rokuzhe alikiri kuwa yeye ni mchawi na amedondoka alipokuwa anaruka kwenye ungo akitokea kwenye trip yake ya kuloga huko Masvingo.


Alikutwa kwenye nyumba ya Mbuya Annah Kamupaundi. AkaaAnza kuwaomba watu waliomzunguka wasimpige ,akasema pia katembelea nyumba kadhaa katika eneo hilo.


Mmoja wao aliyemuona asubuhi mapema ni Mrs Alice Hundi (37) ambae alisema aliamka baada ya kusikia mayowe ya mwanamke kwenye saa nane hivi usiku.


"Nilipomuona yuko uchi,nilimmwagia  chumvi usoni, akaanguka na kuanza kujizungusha zungusha chini. Tuliita polisi na akachukuliwa"


Polisi walitoa uhakika kwamba amechukuliwa na atapewa msaada wa psychiatric.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. WA2 KAMA HAWA NAWATAMANIGI CKU NIKUMBANE NAO..NITAPGA MPAKA BASI..

    ReplyDelete
  2. Hahahahhahaaaaa anony umenichekesha sana...

    ReplyDelete
  3. mambo ya kiutamaduni hayo.so kama vp apelekwe kwa.*.*.

    ReplyDelete
  4. Akina dada chondeni chondeni, mnawatukanisha akina mama wenu/wenzenu kuwa na vituko vya ajabu ambavyo si sahihi kwa maisha yetu, mila zetu, dini zetu na hata starehe zetu. ebu pigeni mbiu ya ngambo mtubu ili miungu yenu iwe pamoja nanyi. maisha haya yana mwisho kuna siku mzitoooooo kabisa kwako, leo unaishi kwa raha jee siku hiyo hizo raha zenu zitawasaidia.................TULIZENI MAMA ZANGU, mtafute waume muolewe, mtafute kazi mfanye kulikoni hivi vituko vya ajabu ajabu vya kila siku.

    ReplyDelete

Top Post Ad