MKALI WA PRISON BREAK, MICHAEL SCOFIELD ATHIBITISHA KUWA SHOGA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

STAA wa Filamu ya Prison Break, Wentworth Miller maarufu kama Michael Scofield, amethibitisha kuwa yeye ni shoga. 
Wentworth Miller amethibitisha hilo wakati akijibu barua ya mwaliko kutoka nchini Urusi alipoalikwa kwenye tamasha la filamu. 

Akimwandikia barua Maria Averbakh, ambaye ni Mkurugenzi wa St. Petersburg International Film Festival, Scofield alikuwa na haya ya kusema: "Asante kwa mwaliko wenu wa upendo.

"Kwa mtu ambaye nimewahi kutembelea Urusi katika siku za nyuma na kufurahia asili ya nchi hiyo, ningeweza kukubali mwaliko huu.
Lakini kwa kuwa nashiriki katika mahusiano ya jinsia moja (Ushoga), lazima nionyeshe kutoridhika na hali hii.

Nasikitishwa sana na jinsi watu wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja wanaume kwa wanawake wanavyonyanyaswa na serikali ya Urusi. 
"Hali hii haikubaliki, na mimi siwezi kushiriki katika tamasha la nchi ambapo watu kama mimi wananyimwa haki yao ya msingi ya kuishi na upendo waziwazi."

"Kama hali hii ikiboreshwa, nitakuwa tayari kubadili maamuzi yangu ". 
Alieleza katika barua hiyo iliyowekwa katika tovuti ya GLAAD.

Source:Global Publishers
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

29 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. sikutegemea daaaah ila kwa sura yako ya upole ni lazima upumuliwe kisogoni kwan una soni ya kike daaah najuta kukujua mweeeh

    ReplyDelete
  2. he spoil prison break lol.......puuuuuuu

    ReplyDelete
  3. yayayah! No comment from me arifu!

    ReplyDelete
  4. dah nilikukubali kwenye prizon breki..ki2 cha kwanza kufika geto nikubandua pcha yako ukutan na kufuta prison break season zote kwa pc yangu...ckutegemea

    ReplyDelete
    Replies
    1. Me nasapot mashoga wapate haki zao

      Delete
    2. Shindwa katika jina ka YESU. shetani toka nasema toka

      Delete
  5. Replies
    1. if you don't believe check out in this blog ------> http://arnoldsoo.blogspot.com/2013/08/mkali-wa-prison-break-michael-scofield.html

      Delete
  6. I'm so proud of him .

    ReplyDelete
  7. Hizo story ni za uzushi mtupu,mkali ka yule hawezi fanya za kishoga ka mnavoandika humu,hivo ni kuchafuliana tu majina za watu ambao ni superstar.

    ReplyDelete
    Replies
    1. unabisha nin wakati mkao wa picha ni wa kuliwa min kabaaang????

      Delete
    2. Nashangaa anabisha nini.hehehe mdau hapo juu umenichekesha eti mini kabaaang watu mna vituko

      Delete
    3. just ask google if at all you don't believe

      Delete
    4. Picha zinaweza kuwa ni kutengeneza tu si kweli bwana I am in love with him

      Delete
  8. doh!hii kali sasa yasikitisha sana jameni mhh mwanamume mzuri hivyo kwisha

    ReplyDelete
  9. Nilimkubar kwa sababu sasa ntamchukia kwa sababu

    ReplyDelete
  10. Mwacheni mwenzenu apumuliwe kisogoni! Sio yeye jamani ameagizwa.

    ReplyDelete
    Replies
    1. We Anonymous hapo juu ingekuwa mwanao au babaako ungesema hivyo acha umbulura lazma tumkitikie kijana mwenzetu inasikitisha

      Delete
  11. Jamaniiii nnavyompnd huyu mkaka!!!!!! OMG Mi sitaki jamani yani sitaki why???? Aaaaaaaah.....

    ReplyDelete
  12. Siamini kama kweli Michael watu wanaluka ukuta

    ReplyDelete
  13. Siamini kama kweli Michael watu wanaluka ukuta

    ReplyDelete
  14. Ninavyompenda huyu kaka jamani mpka kuna siku nilimuota niko nae sita kwa sita, sitaki kabisa kuamini yaani sitaki

    ReplyDelete
  15. Ndo nanyi mlivyo nn? Mnasapoti upuuzi

    ReplyDelete
  16. Daaah,min kabang kwel?!siamin aseee

    ReplyDelete
  17. My God!!!!!this is unbealivable ooh God help ur world!! jamani ama kweli ukishangaa ya Musa utayaona ya Firauni.Loh

    ReplyDelete
  18. Kuna anonymous aliye support ni fucker xana tna xana kma watu wana mla kiboga apelke ushoga mbele yani ungekuwa karibu ningekupiga kisu ufe motherfucker we

    ReplyDelete

Top Post Ad