MSAADA:SIKO FREE NASHINDWA KULALA NA MPENZI WANGU USIKU MZIMA-NAHOFIA KUJAMBA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Nina tatizo linanikabili sijui kama na wenzangu mnalo,nimekuwa siko free na nashindwa kujiachia kulala na mpenzi wangu mpaka asubuhi kwasababu naogopa nikijamba usiku atanielewaje,nakosa amani kwa kweli kwasababu usiku huwa nikiachia yanatoa sauti sana,kuepusha shari na fedheha nimekuwa nikikwepa kulala naye kitu ambacho mwenzangu bado anaking'ang'ania,nisaidieni hata ushauri namna ya kufanya niwe na amani mwenzenu.

Source:Jamii Forums
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. njooo unione weweee nikushauriiiiiii

    ReplyDelete
  2. Kwan kujamba ugonjwa?acha upuuzi ucpo ukimficha mpnz wk ushuzi tu mengine utamwambia?feel free jiachie mtoto wa kike kwa mpnz wk we vipi.

    ReplyDelete
  3. Nilijua c kwl kumbe kweli bana.make money here httpp:/visitprofit.com/?ref=137549.

    ReplyDelete
  4. Acha kufilwa ndo dawa.

    ReplyDelete
  5. nenda kamuone daktar, ni minyoo tu hiyo!!!!! uciogope...

    ReplyDelete
  6. Kuma mae minyoo iyo

    ReplyDelete
  7. Acha ujinga wewe kujamba hata huyo unaemuhofia anajamba ,sema wewe unaingiliwa kinyume na maumbile ndio mana unaficha ,kujamba hata wake zetu wanajamba tukiwa chumbani kwa hali ya kawaida ila kama yako imezid sio bure unaliwa tigo ,acha maana wakat wa uzazi utapata shida

    ReplyDelete
  8. Acha kufilana mbwa ww baladhuli mkubwa shetani mwenye mguu mmoja

    ReplyDelete
  9. kuna dawa ya uga ya kiasili imesaidia wengi ila anayo babu yangu yupo kijijini tanga nami nipo mjini cjui sasa tufanyeje halsalha2012@gmail.com

    ReplyDelete

Top Post Ad