MSANII MANAIKI ATIWA MBARONI NA POLISI BAADA YA KUPIGA PICHA ZA UCHI NA WAREMBO MBALI MBALI NA KUZISAMBAZA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


 
 Jeshi la polisi kanda ya Dar es Salaam linadaiwa kumtia mbaroni msanii anaetuhumiwa kupiga picha chafu na wanawake mchanganyiko wakiwema mamiss maarufu na baadae kusambaza kwenye mitandao yote ya kijamii pamoja na kuripotiwa kwenye magazeti mbalimbali
 

Mwandishi wetu amefanikwa  kuzinasa  picha  za  Manaiki  akiwa chini ya ulinzi wa  polisi huku akiwa amevishwa pingu na kurukishwa kichurachura.
 
Habari za uhakika zilizonaswa  zinasema kuwa msanii huyo alikamatwa siku chache baada kuvuja kwa picha zake za aibu zikimuonesha akiwa na wanawake tofauti tofauti
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. jaman hamna polisi hapo huyu anatafuta umaarufu hivi watanzania mtadanganywa mpaka lini kaigiza kakamatwa ili polisi wenyewe wasimkamate

    ReplyDelete
  2. Kwani kupiga picha siku hizi kosa? Unamdanganya nani

    ReplyDelete
  3. ushaona wapi polisi wana muda wa kupiga picha mnapa umaarufu wa bure we admini unajuana naye nin anakuletea picha zake humu za kutafuta umaarufu

    ReplyDelete
  4. Mambo ya u communist hayo .Anaruhusiwa kupiga Picha uchi na Mtu yoyote
    Naona yeye Mtu Mzima na hiyo Midada iliyopiga Picha ni Watu wazima sioni vitoto hapo

    ReplyDelete
  5. Huyu jamaa kwa kweli ni limbukeni wa mapenzi, hiv ni kwa nin Africa tu ndo watu wanaosaliti? Nimeishi Asia na pia Europe, pia nimeishi na watu wanaotoka America, hawa watu n waaminifu sana kwa wapenzi wao.Karibu kila siku lazima habari za mtu ambaye sio mwaminifu kwa ndoa/au mpenzi zitolewe.Kwanin?

    ReplyDelete
  6. Mbona yule police wao wakike Trafki alizipiga nyingi tu mpaka watu tukaanza kutamani kile kiuno na dudu yake, kwa kuona aibu eti juzi juzi ndio mnamfukuza kazi.

    ReplyDelete

Top Post Ad