MTANZANIA AKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA MAREKANI...ALIFICHA NDANI YA LAPTOP

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Haya mkaka wa Kibongo kwa jina la Joseph Mackubi (I think wamekosea kuspell last name yake) amekamatwa Los Angeles airport (LAX)

Akiwa ameficha madawa ya kulevya aina ya Heroin ndani ya lap top. Jamaa alipita kwenye zile screens pale airport ,kupita tu jamaa wakahisi laptop ina kitu sababu ilikuwa nzito sana ,so wakaitoa wakajaribu kuiwasha wakaona laptop ni mbovu haiwaki ndo wakahisi kuna kamchezo hapo so wakaifungua wakakutaka na 800 grams za heroin....

Jamaa kesha plead guilty and he is facing up to 40yrs in jail....

Habari ikaongeza  kuwa watanzania ni among wengi waliokamatwa hapo Los Angeles airport (LAX) wakiwa na madawa ya kulevya..OMG.....OMG...What is happening to our beloved country????

Source:
LOS ANGELES—A Tanzanian man faces up to 40 years in prison for trying to smuggle heroin into the United States inside a non-working laptop.
City News Service reports 33-year-old Joseph Mackubi pleaded guilty in Los Angeles federal court Wednesday.
Customs inspectors at LAX noticed that Mackubi's laptop seemed unusually heavy when they conducted a secondary screening last October.
They tried to turn the laptop on and it didn't start. When they noticed the laptop appeared tampered with, they opened it and found 800 grams of heroin.
Mackubi, who traveled to Los Angeles from Nairobi, said he was going to meet a woman he met on the Internet in Alabama.
Several recent drug seizures at LAX involved Tanzanian smugglers who traveled a similar path.
Mackubi is due for sentencing Sept. 11
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad