MUME WA JACK AMMWAGIA SIFA MKEWE

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Stori:Imelda Mtema
MUME wa mwigizaji, Jacqueline Pentezel, Gardner Dibibi, amemmwagia sifa kibao mkewe akidai tangu afunge ndoa miezi nane iliyopita, hajawahi kuonja chakula cha mtaani kama ilivyokuwa zamani.
Akizungumza na paparazi wetu nyumbani kwake Mwananyamala, jijini Dar, Garder alisema watu walikuwa wakimchukulia tofauti sana mkewe lakini kiukweli ni mke bora na ni mtaalamu kupika.
“Mke wangu ni zaidi ya mke, ni tofauti na watu wanavyomchukulia na ni mtaalamu wa jikoni. Sijutii hata chembe kumuoa,” alisema Gardner.

Source:Global Publisher

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Utasifia sana chezea kitu cha kupewa tgo wewe.

    ReplyDelete
  2. huyo anampa tigo maana haiwezekani kahaba km hilo ulisifie k*m* imejaa maji

    ReplyDelete
  3. Kwani mkisema matusi ndio ujumbe unafika haraka? Acheni ujinga.

    ReplyDelete
  4. Na kwel waache upumbavu, utadhan hawajazaliwa na mwanamke kama huyo. Unajuaje kama ni kahaba, je angekuwa nduguyo ungeandika matusi. Kuweni na akili nyie baadhi ya wanaume wapumbavu. Akili mbovu sana, sijui kama mna wake au girlfriend msingeandika ujinga...

    ReplyDelete
  5. Yaani iliniuma sana kuona alivyo mtelekeza baby mama wake pamoja na fadhila zote so ungrateful! Na huyo bibie ndio nini kuchukuwa mwaume wa mwenzio eeh? Kumbuka malipo hapa hapa chini ya juwa kama tayari dear coz Mungu hapendi ugly.

    Wanaume wakibongo kwa kupenda Kula ,eti anajuwa kupika hahaa Uwii oleweni tu..hovyoo

    ReplyDelete

Top Post Ad