MUME WANGU ANAJINSIA MBILI YA KIKE NA YA KIUME..NAOMBA USHAURI

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Habari; nilipokea simu kutoka kwa shemeji yngu yani mke wa rafik angu ambae tangu aolewe ni miezi miwili imepita,alinitaka niende nyumbani kwake haraka kuna jambo muhimu linalogusa ndoa yake anataka kunieleza na nijue namna gani tutasaidiana kuliweka sawa.

nilishtuka sana lakin nikakomaa kibishi,naam nilipofika nyumbani kwake akupoteza mda akanipa mkasa mzima kua mumewe ana jinsia 2 ya kike na ya kiume (duuuuuh!!!) lakin ya kiume ndo iko active kiasi kuliko ya ile ya kike hvyo nimsaidie kwa njia yoyote ile hata kama inawezekana kufanya operation kwa gharama zozote zile mradi tu amkomboe mumewe kwan anampenda sna.

aliamua kuniambia mim sababu ndie nilie karibu sna na mumewe na hata hvyo mumewe ndie aliemuelekeza afanye hvyo,licha ya urafik pia mi ndo nilikua mshenga wake.

inasemekana tangu enzi za ujana wake hyo jamaa hakuna aliejua siri hii zaid ya wazaz wke{r.i.p} na hakuwa kabsa akijihusisha na wanawake mpaka alipoamua kuoa. naomben ushaur jins gan naweza msaidia rafik yngu na mkewe dharau weken kando
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Sasa si jibu unalo tayari afanyiwe tu Surgery kuziba sehemu ya kike maana Hana Kazi nayo na kama ya kiume iko active na mwenyewe yuko more comfortable as a man sasa ugumu uko wapi. Na wewe huna lolote kutaka tu kumuabisha rafiki yako in the name of asking for advise. Dude you are not a true friend you are so fake cause it doesn't take a to rocket scientist to figure this out the decision is so simple you and you're friend's wife are both freaks you didn't need to bring this issue on blog Shane on you fake fuckers

    ReplyDelete
  2. Ijaribu hiyo ya kike kama kweli haiko active, ushauri kwa wanawake mficha uchi hazai ukiwa kwenye mahusiano mpe mwenzio tundu ugundue mengi mwilini mwake.

    ReplyDelete
  3. Embu bloggers mtoe source ya hbr zenu.. uncopy hbr nyng toka jamii forum mbona hutoi credit? Sio mtake kuonekana wajanja kwa hbr za wenzenu

    ReplyDelete

Top Post Ad