google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html MWANAMKE ACHOMA MOTO RANGE ROVER SPORT YA BOYFRIEND WAKE KISA WIVU | UDAKU SPECIAL

MWANAMKE ACHOMA MOTO RANGE ROVER SPORT YA BOYFRIEND WAKE KISA WIVU

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wivu noma sana , Dada mmoja huko Mbezi amelitia Kiberiti Gari la mpenzi wake aina ya Range Rover Jipyaaa Baada ya kukuta Condom iliyotumika kwenye gari hilo , Mashahidi wanasema wakati analiwasha moto alikuwa akisema kuwa hilo gari ndio linakutia kiburi mpaka kutembea na wanawake zako ndani ya gari , tuone sasa ukitaka katembee nao vichakani....
Whats your take ?
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

18 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mange kimambi alimfanyiaga hivi mkenya .Mkenya alimuacha mange .Mange alilala kawe police.mwamvita alimtoa

    ReplyDelete
  2. range !!!.ingekuwa ni mimi cjui ningemfanyaje 2.ila hasinge xaau.

    ReplyDelete
  3. Mi pia ningemchoma moto uyo mwanamke yesu na maria Range niinune na pesa anichomee yeuwiiiii

    ReplyDelete
  4. Saaaaaaafi. Am sure ilikuwa inampa kiburi balaa.

    ReplyDelete
  5. Safi sana mmezidi umalaya na akileta za kuleta mkate kabisa uboo wake.

    ReplyDelete
  6. She was WAITING TO EXHALE

    ReplyDelete
  7. Chezea mapenzi wewe!

    ReplyDelete
  8. Ha,ha,ha,ha, hii kali ya mwaka, amkate basi hiyo mboo sasa anamwachia ya nin

    ReplyDelete
  9. Hata afanyeje hilo janaume malaya tu, ila vizur hawez kumsahau hata akimuacha malaya huyo.

    ReplyDelete
  10. Hiyo fresh hilo jishetan hatasahau milele atatylia akipata mwanamke mwingine hata akimwacha.

    ReplyDelete
  11. nyie udaku mbona wongo hivi? kwa nini mmesingizia mbezi beach? hivi hamjui kama watu tunapitia blog maarufu barani africa zikiwemo za nigeria kama Blog ya Linda Ikeja, Stella Dimokorkos, Ladun Liadi, Miss petite, Gist master, nk? kwani kuna ubaya gani mkatoe credit kama mmecopy news? you guys are disgrace to media ethics. Eti Mbezi Beach..nyooo...mna cook news sio? shwaini nyie

    ReplyDelete

Top Post Ad