MWANAMUZIKI DIAMOND NI MIONGONI WA WALIO KWAMA UWANJA WA NDEGE BAADA YA UWANJA KUUNGUA NAIROBI

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


1
2
1
Diamond Platnums akiwa ni miongoni wa abiria waliokwama kutokana na uwanja huo kulipuliwa, ameiambia millardayo.com kwamba imebidi abiria wapelekwe hotelini na kuambiwa inawezekana ndege zikaanza kuruka saa moja au saa mbili usiku leo ambapo taarifa walizozisikia ni kwamba ni shambulio la bomu.
Bado tunaendelea kuwa karibu na vyanzo ili kupata info zaidi lakini kwa sasa ni kwamba imetangazwa abiria wako salama ambapo ndege zote zilizokua zinatua Nairobi zimeelekezwa kutua Mombasa.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad