NAHISI MKUU WA SHULE ANATEMBEA NA MKE WANGU

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Narudi kwenu kuomba ushauri,mimi ni mwalimu wa shule x iliyopo katika mkoa x.Ni hivi karibuni nimekuwa na mahusiano mazuri sana na mkuu wa shule yangu,kitu ambacho kilikuwa ni nadra kuwahi kutokea,kwani amekuwa akinipa safari za mara kwa mara kutoka nje ya kituo na malupulupu mengine kibao wakati staff members wenzangu wakisota na kulalama.

Kinachontisha zaidi ni huyu mkuu kuanzisha tabia ya kuwa ananitembelea nyumbani na mara nyingine akijua fika kabisa kwamba mimi sipo nyumbani.

Sasa hii nahisi ni hali ya hatari na mimi ni mnyalu kutafuta kamba wala sioni kazi.

Naombeni ushauri wenu jaman, nifanyeje?\
Source:JF

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Huna 7bu ya kutafuta kamba,swala zima kaa na mkeo mweleze kila kitu baina yake na huyo mkuu wako,kisha mfate mkuu nae mkanye kwa wakati wake natumai watakuelewa.

    ReplyDelete
  2. Fanya uchunguzi wa kimyakimya, ujue nini hakuna siri duniani. Usimvamie mkuu wako wala mkeo na wala usimwambie mtu utagundua tu za mwizi arubaini..

    ReplyDelete
  3. Fanya uchunguzi wa kina ukibaini muwekee mtego ututafute tuje tucheze na hilo tundu lake la kunyea. Pumbafuu

    ReplyDelete
  4. Mara nyingi hisia huambatana na ukweli huambatana na ukweli so take care

    ReplyDelete
  5. Safari hii akikupa safari nenda kapange guest then usiku rudi nyumbani kwako ufumanie na ikiwa kweli usimuache mkeo ila nawe kalale na mke wa mkuu then iwe siri yenu wanne.

    ReplyDelete
  6. Ukiona umeanza kuhic ujue unaukaribia ukwel

    ReplyDelete
  7. kunywa sumu ya panya

    ReplyDelete

Top Post Ad