NANDO AKAMATWA BAADA YA KUIBA CAMERA MOJA YA BIG BROTHER

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Nando  ameendelea  kuitia  aibu  Tanzania  baada  ya  kukumbwa  na  kashfa  mpya  ya  wizi  wa  kamera  ndani  ya  jumba  la  big  brother.

Wizi  huo  unadaiwa  kutendeka  baada  ya  Nando  kualikwa  kushiriki  fainali  za  Big brother  ambapo Dillish aliibuka  mshindi  wa  shindano  hilo.....

Baada  ya   wizi  huo, kamera  za  jumba  hilo  zilimuumbua.Nando  alikamatwa  na  kuamriwa  airejeshe  camera  hiyo.

Source:Big Brother
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. vijana wazuri wote huwa wana matatizo kama sio mashoga bas wezi au malaya

    ReplyDelete
  2. ila Tanzania ijifunze ktu kdg bac c ushombe ndo huwa unamshindisha mtu BBA m huyu kjana ckumpenda hta kdg

    ReplyDelete

Top Post Ad