NANDO "NAHISI KUMPENDA MSHINDI WA BIG BROTHER DILLISH"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Nando ambaye anawindwa kama ndege na wasichana warembo wa Afrika wenye uchu na penzi lake, ameamua kutoficha hisia zake na kuzianika kwa mashabiki wake zaidi ya 19,000 wa Twitter


I think I'm inlove with the BBA Chase winner..!!!.....

Kwa urembo wa Dillish, hatumshangai Nando lakini habari mbaya kwake ni kwamba ameshachelewa kwakuwa Mnamibia huyo anaye wake tayari.
Bongo 5
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Na ashindwe huyo nando kama alikuwa anampenda kweli angemwambia kabla hajashinda. Lakin kashinda ndo anamwambia hampati ng'o. Hata awe handsome kias gan. Dada mwenyewe mvuto aslimia zote...

    ReplyDelete

Top Post Ad