NEY WA MITEGO KATEMANA NA DEMU WAKE-APOST UJUMBE WA MAFUMBO INSTRAGRAM

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


JANA  Nay wa Mitego alikuwa akiandika ujumbe wenye mafumbo kwenye Instagram na baada ya kuusoma ndani ya mistari  ilibainika kuwa  huenda mambo si mazuri kati yake na mpenzi wake ambaye hivi karibuni alikuwa akitarajia kumzalia mtoto lakini mimba ikaharibika.



Nay ambaye jina lake halisi ni Emmanuel Munisi, jana alianza  kwa kuandika ujumbe huu: Sasa mapenzi basi# by diamond Platnumz..!! Single boy# Ally Kiba#966’

Baada ya muda kidogo aliandika tena: 
"Niko ivi,,, nikikupenda nakupenda kwa asilimia 100# na kila m2 atajua juu ya upendo wangu kwako..!! Bt ukizingua nakuacha na ninakusahau kwa asilimia 200# na kwa muda mchache 2. 


"Nikiamua huwa sirudi nyuma..!!# Mwanamke mjinga ataivunja ndoa yake kwa mikono yake ye mwenyewe# by Linex.#966’
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mbona mipasho au mtoto mchele mchele kajiimba mwenyewe,wanaume wa kweli 2kimmwaga demu huwa 2napiga kimya,nina waxwax kapigwa chini.

    ReplyDelete
  2. Akuna aliye kamilika kaka na mpnz ayana siri kama alivo tangaza kuwa nae hana budi kutangaza akiachana nae maisha nikujipanga kwakila m2

    ReplyDelete
  3. Hivi hili lipumbavu halina cha kufanya ni mipasho kutwa kucha na kutafuta cha kuwakosoa wenzie ndo lipate vimistari vya rap zake fake?! Hili lishoga tu halina lolote linagongwa tu tunelichoka na rap zake za mipasho Kama vipi likaimbe taarab tu hovyo kabisa hili

    ReplyDelete
  4. NEY ni wamitego, mitego yake hunasa wengi si kwenye muzk tu, hata mapenzi pia,wewe ni true boy bwana acha kuzinguliwa na huyo.

    ReplyDelete
  5. Fala tu,sasa kama umeachwa ndo utangaze,hata hivyo nani anataka nyara bwana? Bora ulivyoachwa,sura kama unapuliza moto

    ReplyDelete
  6. Atakuwa kaachwa yy huyo kwanza mwanaume huwa hapapariki inakuaje unatoa mafumbo kwa mwanamke?hayo mambo ya wanawake au sio riziki kijana?

    ReplyDelete

Top Post Ad