NEY WA MITEGO "SINA TATIZO NA MADEMU RITHA CHECK TILIVYOTOKLEZEA"NANI AMENUNA?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Katika Uzinduzi wa Video mpya ya Diamond ya wimbo unaoitwa Number 1 , Madamme Ritha wa BSS alikutana Live live na Ney wa Mitego ambaye alimchana sana kwenye wimbo wake mpya akiuliza milion 50 za BSS zinaenda wapi ? kwani washindi stil bado wamechoka kimaisha...ili kuonyesha kuwa hawana Beef kati ya yao waliamua kupiga picha ya Pamoja....
Hongera Madamme Ritha kwa kuonyesha ukomavu..Ingekuwa mwenzangu na Mie hapo mbona Beef lingekuwa Another Level....
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. huyu mashairi yake anajiandikia 2 hafikrii

    ReplyDelete
  2. Hongera Ritha umeonyesha kuwa una busara

    ReplyDelete
  3. Poyoyo mwenyewe msenge wewe, huyo anakosoa jamii na anaelimisha jamii pia! Na analeta changamoto kwa walengwa wajipange pia!

    ReplyDelete
  4. anatafuta umaarufu mjinga huyo haya ritha kakujua umefurahi???

    ReplyDelete
  5. ni poyoyo na mshamba anaetafuta umaarufu kwa nguvu,big up madam ritha ulivyomdharau huyu poyoyo kichaa

    ReplyDelete
  6. Sio poyoyo tu huyu jamaa hata hajui nn afanye sion usanii wake kaz kutwa kuwatukana wenzake bwege sana neema sijui ndo jina lake

    ReplyDelete
  7. Achen ujinga mnakua mackn wa mawazo yey Wamitego alishaxema kwnye wimbo hana tatzo nao dzain km ni challenge tu datc madam Ritha hakuyaweka moyon kwan km hzo pesa wangekua hawapew wangekua washaweka bayana chezea mbongo kwnye salali...

    ReplyDelete
    Replies
    1. upo sahihi kabisa ,mi nadhani Nay kampa ukweli

      Delete
  8. HEBU TUAMBIE dERICK WEWE ULITAKAJE MAANA HATUKUELEWI RITA ANA BUSARA SANA NA HEKIMA ULITAKA WAPIGANE ILI

    ReplyDelete

Top Post Ad